CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Mwananchi limeandika jinsi treni itakavyoleta miujiza. Najiuliza, hivi miujiza ya mabasi ya mwendokasi ilishakuwa realised? Tuliaminishwa miujiza na mabasi, tuamini na treni? Ngoja tuwe na matumaini, lakini tuanze, tuthubutu!