Mkuu, aibu yako ni kushindwa kukataa kutoa pesa pindi uombapwo? Au?Eti wadau aibu inayonikumba nahisi inanisababisha kufeli vitu vingi sana. Nawezaje kujiondoa na suala la aibuu ili kufanikiwa mipango yangu naombeni ushauri wadau natanguliza shukrani......
Jenga ujasiri kwa kujitahd kujichanganya na watuAibu kwenye vitu Kama kujieleza
Aibu kwenye vitu Kama kujieleza
wewe ni muoga huna aibu wala nini, you have to confront your fear and you shall winEti wadau aibu inayonikumba nahisi inanisababisha kufeli vitu vingi sana. Nawezaje kujiondoa na suala la aibuu ili kufanikiwa mipango yangu.
Naombeni ushauri wadau natanguliza shukrani.