Kuweka akiba

jimmykb197

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
485
483
Naombeni ushauri jamani, napokea laki sita take home, niweke akiba kiasi gani kwa mwezi?
 
Ili tukushauri tuambie una nafasi gani katika jamii yako! Yani majukumu yako labda ni msela au una familia, umepanga na ishu nyingine
Nimepanga na nina mke ila mtoto bado ndugu yangu. Na jamii ninajihusisha nayo katika mambo mbali mbali kama michango nk
 
Back
Top Bottom