Unasoma chuo gani?Wakongwe habari zenu
Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya Makampuni hayo nitashukuru sana
Natanguliza shukrani...
Directory/Database ya NGO zote Nchini, inapatikana.Wakongwe habari zenu