Hizi taarifa za kukua uchumi au tunapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa?

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
1 USD =103.350KES
US Dollar1 USD = 103.350 KES

Kenyan Shilling1 KES = 0.00967588 USD



1 USD =825.723RWF
US Dollar1 USD = 825.723 RWF

Rwandan Franc1 RWF = 0.00121106 USD



1 USD =1,706.43BIF
US Dollar1 USD = 1,706.43 BIF

Burundian Franc1 BIF = 0.000586020 USD



1 USD =2,232.27TZS
US Dollar1 USD = 2,232.27 TZS


Tanzanian Shilling1 TZS = 0.000447973 USD



1 USD =3,614.94UGX
US Dollar1 USD = 3,614.94 UGX

Ugandan Shilling1 UGX = 0.000276630 USD


Exchange rate ni miongoni mwa viashiria vya ukiaji wa uchumi . wenzetu wanvyo kazana kujenga uchumi wao sisi tuna subiri kusifiwa ilihali thamani ya pesa yetu inazidi kuwa nyepesi dhidi ya wenzetu .

1 KES =21.6017TZS
Kenyan Shilling1 KES = 21.6017 TZS


Tanzanian Shilling1 TZS = 0.0462926 KES



1 RWF =2.70426TZS
Rwandan Franc1 RWF = 2.70426 TZS


Tanzanian Shilling1 TZS = 0.369787 RWF

Linganisha na exchjange rate ya miezi minne nyuma kwa nchi zote ili uweze pata jibu kama kweli sisi ndio tunakia kiuchumi au kinyume chake.
 
Haina haja ya kubobea sana kwenye mambo ya uchumi na international finance kujua uchumi wetu unadorora...
1. Watu wamepoteza biashara zao.
2. Watu wamechishwa kazi na serikali haijaajiri wahaohitaji.
3. Wafanyabiashara mitaji inazidi kukata kila kukuacha.
4. Bandarini hali ni mbaya,meli zimepungua.
5. Makusanyo ya kodi yemepungua sana,ndo mana hawatangazi sasa hv.
6. Budget ya 2016/17 imefeli kuliko zote zilizopita toka tumepata uhuru.
7. Idadi ndogo zaidi ya wanafunzi wa elimu ya juu kupewa mikopo na bodi kuliko kipindi chotechote kiuwiano na ufaulu wa wanafunzi..
8. Watumishi wa umma hawajaongezwa mishahara,wala kupanda madaraja nk nk.
9. Bei ya bidhaa muhimu km unga, mchele nk imepanda maradufu ndani ya miaka miwili.
10. Mitaani fedha imepungua sana (mzunguko) kiasi kwamba BOT wamekuja na tools ya Monetary Policy iitwayo Bank reserve ratio, hii ina maana wamekubali pesa hamna mtaani.
Sasa huu uchumi wanaotuambia unakuwa ni wa matumbo yao (viongozi) au ni uchumi wa nani!!!!?
Bull....s.h.i....t!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom