Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu zang JF, Naomba nipate malezo juu ya mambo haya: 1.maana ya fixed account 2.faida zake ni zipi ? 3.je hiyo faida hupatikanaje ? kwa mifano itakua poa zaidi.
0 Reactions
1 Replies
44K Views
Misingi Mitano(5) Muhimu Ya Kufanikiwa Kwenye Ujasiriamali na Biashara. Katika ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa ngumu na shida kupatikana, ujasiriamali na biashara vimekuwa ndio...
8 Reactions
8 Replies
9K Views
Njombe — Serious agricultural investments through the Public-Private Partnerships (PPPs) are a panacea towards industrialisation of the country and building a middle-sized economy. Njombe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Wale wote wanaopenda kuWa mamilionea Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika...
9 Reactions
10 Replies
21K Views
*Mark Elliot Zuckerberg* ndiye mgunduzi wa Facebook na mmiliki wa Whatsapp. Mwezi huu wa May, 2017 jarida la Forbes lilimtaja kuwa tajiri namba 5 duniani, akiwa na utajiri unaofikia US$ 63.3...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Although the bias on this pair is bullish, bulls are getting tired of pushing price upwards. Price consolidated last...
1 Reactions
1 Replies
583 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nimefikilia kujiajili kwa kufanya uwakala wa crdb lakini bado natafuta information muhimu zitakazo nisaidia ktk biashara yangu mpya maana bado sijawa na uzoefu.Naomba kwa...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Kutoka kwa Abuu Abdillah Tafakari::: Tafakari tena tafakari kwa sababu Umri haurudi unazidi kusonga mbele Leo unamuongelea Ronaldo kuwa na miaka 30 kumiliki utajiri mkubwa hata ww ni wazi...
0 Reactions
5 Replies
857 Views
Habari wadau. Naomba msaada juu ya biashara ya printing hasa kuhusu bei za mashine ya kuprintia A4 and A3 coloured flyers, banners, billboards, calendars, tickets, magazines, n.k Naomba msaada...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
USHAURI KWA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA Tangu jana Juni 5/2017 nchi za Saudia, Emirate, Bahrain, Misri, Yemen, Libya na Maldives zimeingia mgogoro wa kidiplomasia na nchi ya Qatar. Mgogoro huo...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf? Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu kwa shirika letu la nyumba NHC. Tangu menejimenti mpya ya akina Mchechu na wenzake ianze kufanya kazi; tumeona mabadiliko makubwa katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naamini........... Unahitaji kufanikiwa kwa kuwa na elimu nzuri, nyumba nzuri, gari zuri, uwe na miradi inayofanya vizuri na kukupa kipato kizuri..... KWA UFUPI UNAHITAJI KUWA NA MAISHA BORA...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
jifunze jambo kutoka kwa bosi wa kampuni pendwa duniani ya GOOGLE 1. Sundar Pichai was born in Chennai and his family of four (Pichai, his mother, his father and younger brother) lived in a...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wenye uzoefu wa namna ya kufanya manunuzi ONLINE (Mtandaoni) naomba tuelekezane hapa. Tujulishane hatua unazotakiwa kuzifanya mwanzo mpaka mwisho kwa kutumia Card hizo. Pia tujulishane utofauti...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu za jioni. Uuzaji wa awali wa hisa #vodacom umeshafungwa. Ningependa kujua matokeo ya ununuzi wa hisa hizi yatatoka lini
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natamani hii nchi ingekuwa imepimwa asilimia 80 tu suala la kukusanya kodi za majengo viwanja n.k wangekusanya hela nyingi sana. Leo hii ardhi ya Tanzania haijapimwa.... Hivi hatuwezi kujiwekea...
2 Reactions
2 Replies
834 Views
Habari wadau,<br /><br />Huwa nawaza sana kuanzisha NGO lakini shida ni kwamba nashindwa kuelewa namna ambavyo ntaweza kuisaidia jamii nikiwa nimekwisha maliza usajiri wa NGOs sasa sijajua ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
The word Kuwa it's the best bank in Tanzania Any truth in this? What makes them special compared to the barclays, stanbics, city banks, NBC, etc?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
EITI NOW POINTS FINGER AT ACACIA FOR MISREPORTING COPPER EXPORT PROCEEDS SINCE 2001 Asks ACACIA to be more transparent to Tanzanians A stop order issued by Tanzania Government on March 3rd 2017...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom