Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Anaandika Emali. Kidegeye666@gmail.com Whasp0769035335 ============================ MTAMBUE STANELY MEYER MTU ALIYE TENENEZA GARI LINALOTUMIA MAJI,AKAZAWADIWA KIFO. Alizaliwa 1940.Walizaliwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, Mimi ni binti niliyeolewa mwaka huu. Awali nilikuwa nafanya kazi kwenye moja ya NGO hapa jijini Dar mpaka pale tulipopunguzwa kazini kutokana na hali ya uchumi wa kampuni...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau ni ndoto yangu kuanzisha biashara ya kukodisha muziki eneo Fulani ambako ni kijijini na Huduma za muziki zipo chini ila sherehe ni nyingi pia. Naomba mawazo yenu kuhusu changamoto na namna...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari waungwana, Kwangu naona kama haiwezekeni kutegemea mshahara pekee wakunifanya nijikwamue kimaisha, hivyo imenilazimu niingie kwenye biashara kwa haraka sana. Sikuona kama nitapiga hatua...
8 Reactions
70 Replies
11K Views
Viwanda vingi vya hapa nchini vilikufa na hata vingi vilivyopo vinachechemea na sekta ya viwanda imedumaa. Unajua ni kwa nini? Katika nchi zilizoendelea, sekta ya viwanda ni complementary/...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Pretoria — The 2017 Mining Charter has increased the level of black ownership in mining companies from 26% to 30%. "Holders who have maintained a 30% black shareholding will not be required to...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Declaration: I live in Tanga city and i have no problems if am considered to harbour bias for my port city I am proposing that the Government considers Tanga port for the recent Ethiopian deal...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
huu ni mvinyo wa Penasol, yani hapo ndio umetoka kufunguliwa kizibo lakini kama picha inavyojionesha ndani kulitakiwa kuwe na SEAL! lakini haipo imeshatobolewa Kuna biashara kubwa inayoendelea ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Anneth Jacob au Mama Gilo, ni mkulima mdogo wa mpunga kutoka skimu ya lake tatu mkoani Arusha. Awali Mama Gilo alikua akivuna magunia 7 ya mpunga kwa kutumia mbolea za kawaida. Baada ya kupokea...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KUTOKANA NA UZOEFU WANGU KTK INDUSTRY YA TELECOM YAFUATAYO YANAHITAJI SERIKALI IINGILIE KATI 1. Mabadiliko holela ya bei kutoka makampuni ya simu na washirika wake ( Huawei na Helios towers )...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hisa za Vodacom ambazo zilitakiwa kuanza kuuzwa June 12 katika soko la DSE sasa zimepigwa kalenda kwa mda usiojulikana, sababu kamili haijafahamika. Link: Tanzania: Anxiety As Vodacom Listing At...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vodacom walianza kuuza hisa zao za IPO tarehe 9 march na kufunga tarehe 18 april, ila waliongeza muda kwakuwa hazikununuliwa kwa kiwango kilichotarajiwa. sasa toka wameongeza muda hatupati...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
hii ni kuwagandamiza watanzania tena, kwanza uchumi mmeudumaza na watanzania wengi wameshindwa kununua hisa za Vodacom, sasa mmetunga sheria kulazimisha makampuni ya simu yauze hisa DSE, na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jamii forums ambao hawaja bahatika kusoma hii report jioneeni wenyewe jinsi wawekezaji kwenye sector ya madini wanavyonufaika.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, kwanza napenda kumpongeza ndugu yangu Temu kwa jinsi anavyozidi kuliimarisha shirika la Swissport. Pili nina machache, nakuomba kaka kama una nia na umedhamiria kuibadilisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The market largely consolidated last week – in the context of an uptrend. A movement below the support line at 1.1100...
2 Reactions
1 Replies
724 Views
Kwa mud mwingi sana watu wanatengeneza blogu na applications kwenye Playstore ili ziwaingizie kipato. Je, ni kwa namna gani nitafidika na bligu au kutengeneza application kwenye G/Playsore...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nataka kufungua account mpy benki ila sijui benki gani nzuri, naomba ushauri kidogo maana sitaki kujuta katika hili
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Habari wana jukwaa. Leo nizungumzie jambo moja linalo wagharimu watu na nimeona hata humu humu. Wengi wetu tumekuwa tunapata mihemuko baada ya kuona either Picha za mtu analima, picha za Mtu...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom