Matokeo ya hisa za Vodacom yatatoka lini?

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Ndugu za jioni.
Uuzaji wa awali wa hisa [HASHTAG]#vodacom[/HASHTAG] umeshafungwa. Ningependa kujua matokeo ya ununuzi wa hisa hizi yatatoka lini
 
Inaelekea hazijauzika zote kutokana na taarifa za awali, hakuna taarifa kamili mpaka sasa. Zinatakiwa zianze kuuzwa DSE mwezi wa sita.
 
TIMETABLE
Finalize reconciliation and announcement of results 26 May 2017
Crediting of CSD accounts 9 June 2017
Listing 12 June 2017
AGM 2 August 2017
* dates may be subject to change
 

Attachments

  • IMG_1233.PNG
    IMG_1233.PNG
    76.3 KB · Views: 79
Back
Top Bottom