mwamasangu
Member
- May 12, 2017
- 36
- 28
Natamani hii nchi ingekuwa imepimwa asilimia 80 tu suala la kukusanya kodi za majengo viwanja n.k wangekusanya hela nyingi sana. Leo hii ardhi ya Tanzania haijapimwa....
Hivi hatuwezi kujiwekea malengo mwaka mzima kila halmashauri ikapima hii ardhi kutumia satellite or GPS technology
Natamani....waziri wa fedha na wa ardhi hebu komaeni na hili pesa ziko huku nyingi tu