Mkulima wa mpunga anufaika na mbolea

Kalimati

Senior Member
Feb 21, 2013
150
195
Anneth Jacob au Mama Gilo, ni mkulima mdogo wa mpunga kutoka skimu ya lake tatu mkoani Arusha. Awali Mama Gilo alikua akivuna magunia 7 ya mpunga kwa kutumia mbolea za kawaida. Baada ya kupokea elimu ya lishe linganifu ya mimea kutoka [HASHTAG]#yaratanzania[/HASHTAG] mazao yake yalianza kuongezeka kwenda gunia 22, mwaka uliofuata 28 hatimae sasa anavuna gunia 35 kwenye ekari hiyo moja. Kupitia kipato alichopata Anneth amefungua duka la pembejeo na kumudu kulipia watoto ada bila matatizo. Fuatilia taarifa mbalimbali kupitia mitandao yetu ya kijamii Instagram , Facebook na YouTube kwa kutype @yaratanzania au pata taarifa bure kabisa kwa kupiga *149*50*31# BURE [HASHTAG]#yaramila[/HASHTAG] [HASHTAG]#testimony[/HASHTAG] [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#farming[/HASHTAG] [HASHTAG]#women[/HASHTAG] [HASHTAG]#fertilizer[/HASHTAG]
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom