Je unajua kwa nini sekta ya viwanda Tanzania haikui?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,791
Viwanda vingi vya hapa nchini vilikufa na hata vingi vilivyopo vinachechemea na sekta ya viwanda imedumaa.

Unajua ni kwa nini?
Katika nchi zilizoendelea, sekta ya viwanda ni complementary/ Supplementary.
Yan mfano Toyota wao wamefungua kiwanda cha kutengeneza magari, basi muwekezaji mwingine atafungua kiwanda cha kuyeyusha chuma cha kutengenezea mabati ya kuunda magari, na mwekezaji mwingine atafungua kiwanda cha kutengeneza rangi za kupulizia kwenye magari na muwekezaji mwingine atafungua kiwanda cha kutengenezea matairi.
You see! Hapa kunakuwa na some sort ya ushirikiano...
Kwa hiyo, Toyota wakiuza magari zaidi, wa chuma atauza zaidi, wa rangi atauza zaidi na wa matairi atauza zaidi.

Tofauti na hapa kwetu nchini.

Viwanda vinavyojengwa hapa ni vile ambavyo vina compete to each other.
Kila kiwanda kikianzishwa kipya, kitakuwa ni cha kuzalisha cement. Zamani tulikuwa na viwanda vitatu vya kuzalisha cement, ila kwa sasa viko zaidi ya sita, zamani kulikuwa na kiwanda kimoja cha kuzalisha mabati, ila kwa sasa viko kama kumi, zamani kulikuwa na kiwanda kimoja cha kutengeneza waya za umeme, kwa sasa viko kama saba.
Sasa aina hii ya viwanda vilivyopo nchini vina compete kwa hali ya juu. You either kill your neighbor to survive or you die for your neighbor to survive.
If you sell more, it means your competitor has sold little or nothing.

Kwa hiyo kwa mfumo huu, sekta ya viwanda Tanzania kukua ni ndoto!
 
Viwanda vingi vya hapa nchini vilikufa na hata vingi vilivyopo vinachechemea na sekta ya viwanda imedumaa.

Unajua ni kwa nini?
Katika nchi zinalizoendelea, sekta ya viwanda ni complementary/ Supplementary.
Yan mfano Toyota wao wamefungua kiwanda cha kutengeneza magari, basi muwekezaji mwingine atafungua kiwanda cha kuyeyusha chuma cha kutengenezea mabati ya kuunda magari, na mwekezaji mwingine atafungua kiwanda cha kutengeneza rangi za kupulizia kwenye magari na muwekezaji mwingine atafungua kiwanda cha kutengenezea matairi.
You see! Hapa kunakuwa na some sort ya ushirikiano...
Kwa hiyo, Toyota wakiuza magari zaidi, wa chuma atauza zaidi, wa rangi atauza zaidi na wa matairi atauza zaidi.

Tofauti na hapa kwetu nchini.

Viwanda vinavyojengwa hapa ni vile ambavyo vina compete to each other.
Kila kiwanda kikianzishwa kipya, kitakuwa ni cha kuzalisha cement. Zamani tulikuwa na viwanda vitatu vya kuzalisha cement, ila kwa sasa viko zaidi ya sita, zamani kulikuwa na kiwanda kimoja cha kuzalisha mabati, ila kwa sasa viko kama kumi, zamani kulikuwa na kiwanda kimoja cha kutengeneza waya za umeme, kwa sasa viko kama saba.
Sasa aina hii ya viwanda vilivyopo nchini vina compete kwa hali ya juu. You either kill your neiber to survive or you die for your neighbor to survive.
If you sell more, it means your competitor has sold little or nothing.

Kwa hiyo kwa mfumo huu, sekta ya viwanda Tanzania kukua ni ndoto!

True ni kwasababu ya taifa kuongozwa na wajinga
 
Viwanda vitaletwa na mazingira karibishi na havijileti vyenyewe. Kazi ya serikali iwe ni kuandaa mazingira hayo na sio kudhani yenyewe itajenga au kufufua viwanda vilivyo kufa. Urasimu ni mwingi sana hata ukitaka kufungua mashine ya unga unatakiwa vibali kibao TFDA TBS OSHA EIA TRA etc
 
You have a point bro! Well said

Kuigana ndio sababu hata ya biasgara nyingine kufa kwa sababu ya kukosa ubunifu
 
viwanda ni kweli ndio key ya maendeleo,ila kama unaishi nchi ambayo hujawahi kusikia makampuni kama Moody's,Fitch,S&P Global,tafadhali jifikirie tena.
 
Back
Top Bottom