mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 903
- 1,474
Vodacom walianza kuuza hisa zao za IPO tarehe 9 march na kufunga tarehe 18 april, ila waliongeza muda kwakuwa hazikununuliwa kwa kiwango kilichotarajiwa. sasa toka wameongeza muda hatupati mrejesho wowote na uuzaji umefungwa , tunasubiri zitangazwe sokoni tuanze trading, mimi nahisi kuna kutapeliwa hapa. au tusubiri mpaka mwakani. mmekaa kimya kama vile hamujui watu tumekopa tukawekeza, mimi nimechukua mkopo wa mil 10 nikanunua hisa, ila wamechukua pesa zangu wamekaa kimya