Hisa za Voda zapigwa kalenda kuingia sokoni DSE

Tatizo la kulazimisha mambo
Hapo ni Voda tu
Hakuna mtu ambae anataka poteza hela zake kuwekeza kwenye soko ambalo kesho yake mtu anaweza geuza mawazo na kuifunga kampuni....
Hata walionunua watajuta sana

Kampuni nyingine itabidi zitulie kwanza au wauze hisa 100
 
Nasikia kwa chini chini sana hisa zilizouzwa ni kidogo mno. Hazifiki hata nusu. Sasa cjui itakuaje au ndi tumeliwa
 
Hisa za Vodacom ambazo zilitakiwa kuanza kuuzwa June 12 katika soko la DSE sasa zimepigwa kalenda kwa mda usiojulikana, sababu kamili haijafahamika.
Link:
Tanzania: Anxiety As Vodacom Listing At Stock Market Is Delayed

Tanzania Daily News (Dar es Salaam) 20.06.2017
Tanzania: Vodacom Primary Offer Results Out This Week

The results of Vodacom Tanzania initial public offer (IPO) are expected to be issued this week, the Capital Market and Securities Authority (CMSA) said yesterday.

The CMSA said the results, which will pave way for Vodacom listing, took longer than expected due to the size of IPO--476bn/- the largest in history of Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).

The Authority Principal Public Relations Manager, Mr Charles Shirima, told 'Daily News' that the announcement would know to the public late this week. "The authority failed to complete the allotment in time due to the size of the IPO, but this week information will be out," Mr Shirima said.

Vodacom, the giant telco, IPO ended some four weeks ago but the authority took longer than expected to issue the final results of subscription level. The South African-based firm was expected to list its shares on May 16, but this was postponed to June 13 and this has been missed also.

Some stockbrokers have it that the delay may be normal given the fact that many of the subscriber first-time stock investors--thus increasing workload. Vodacom, a Vodafone owned telco, early this month announced that more than 40 000 citizens, many of them fresh participants in the capital market, bought shares in the IPO.

"This week the authority (CMSA) will announce the IPO outcome... be patient," a broker told 'Daily News' yesterday. When reached for a comment yesterday, Orbit Securities, Voda's sponsoring brokerage firm, said they are still waiting for CMSA approval.
 
HIVI KAMPUNI IKIFIRISIKA, WALIONUNUA HIZO HISA WANASALIMIKAJE?
Utasalimika vipi sasa wakati kampuni yako imefilisika? Wewe ni part owner wa kampuni unaponunua hisa, ikifiisika ndo zimeenda hizo.
 
DUUUUUUUUHHHHHHHHHH NA VIPI MTU AKIWEKA FEDHA BENKI NA BENK IKAFIRISIKA?
BOT inatakiwa kukulipa hadi million 1.5 ya jumla ya account zako zote, zaidi ya hapo ndo zimeenda.
So kama una account mbili kila moja ina millioni 10, benki ikifilisika unatakiwa kupata 1.5 million kutoka BOT.
 
BOT inatakiwa kukulipa hadi million 1.5 ya jumla ya account zako zote, zaidi ya hapo ndo zimeenda.
So kama una account mbili kila moja ina millioni 10, benki ikifilisika unatakiwa kupata 1.5 million kutoka BOT.

YARABI,YANI ULIWEKA MILION 100 UNAPEWA M 1.5?
 
Nasikia kwa chini chini sana hisa zilizouzwa ni kidogo mno. Hazifiki hata nusu. Sasa cjui itakuaje au ndi tumeliwa
Hisa ziliuzwa nyingi tu ila sababubitakuwa ni volatility ya soko la DSE kwa sasa. Sera za nchi hazieleweki na hii ina athari kwa soko la hisa. Wana buy time labda mambo yatatulia mwezi ujao wazipeleke sokoni maana kwa hii figisu ya serikali na wawekezaji wakizipeleka moja inaweza uzwa hata sh 100 toka 850 ya IPO
 
YARABI,YANI ULIWEKA MILION 100 UNAPEWA M 1.5?
Kama hakuna kilichobaki katika benki hiyo ndo Bima ya depositor inayotolewa na BOT. Ila kwa hali ya kawaida benki sio rahisi kufilisika kabisa maana BOT wanatakiwa wawe wanaangalia afya ya benki na kuingilia kati kama kuna tatizo, kama Twiga.
 
Back
Top Bottom