Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana JF Ni duka gani (DAR) naweza kupata pikipiki za SUNLAG kwa bei nzuri, nimeelezwa pikipiki hizi zinadumu kidogo. Kuna aina nyingine ambazo zina sifa nzuri na bei zake ni poa.
0 Reactions
21 Replies
14K Views
(FT) -- Apple has overtaken Google to become the world's most valuable brand with an estimated brand value of more than $153bn, according to new rankings published on Monday. For the last four...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umeme mgawo 16 hours na ukweli hakuna hope kabisa maana serikali iliyopo na records zake sana sana tatizo litaendelea kuongezeka kila siku,hii inafanya maisha yanazidi kuwa magumu maana hata watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni kuna kijana moja ambaye baba yake ndio kiongozi wa jamhuri ya muungano wa tanzania alidai/alitamkaa kwamba watanzania wanatakiwa kuelewa kwamba kila mtanzania/wengi wa watanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WAPENDWA WANA JF NA WAJASIRIAMALI, ninataka kuanzisha kampuni ya ku supply vifaa vya ujenzi na umme. ishu ni kufuata utaratibu gani ili nikamilishe mchakato? nini vinahitajika? pia kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naamini zipo bidhaa nyingi hapa Tanzania tunaweza kuexport nje, Ni wapi hasa naweza kupata taarifa sahihi za bidhaa gani zina hitajika nje na nchi gani? nilikuwa nahisi labda wizara ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
i want to know the real rate of our country inflation! Because am so confused with that! Pleaese help me to know
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani nauliza exchange rate ya 1 pound ya Uingereza kwa Tsh,niliacha Pound 1 sawa sawa na Tsh 2200,je sasa hivi 1 pound ni sawa na Tsh ngapi ,rate ya kwenye bureau
0 Reactions
0 Replies
6K Views
jamani naomba nilete kilio changu kidogo! hivi huu ugumu wa maisha ni mimi mwenyewe ndo nnao u feel au ni watanzania wote???mbona kila mtu yupo kimya? yan nimetoka kuweka mafuta saiv nimekuta lita...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Saturday, May 7, 2011, 11:32 Habari kuu, The african BY GEOFFREY NANGAI AND AGENCIES VIETNAMESE customs authorities discovered nearly 600 kilograms of elephant tusks hidden in a shipping...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viongozi wetu wamekuwa wakialikwa Uturuki kila siku, Raisi wa Zanzibar amerudi wiki iliyopita tu kutoka Uturuki na Makamu wa raisi alikuwa anasubiri ndege irudi na yeye kuchukua ndege kwenda...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Apple is world's most valuable brand By Maija Palmer and Andrew Baxter, FT.com May 8, 2011 -- Updated 2300 GMT (0700 HKT) Apple CEO Steve Jobs with the iPhone, which has helped propel the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Central bankers on the spot as high inflation hits businesses and homes With the advent of the current sharp increase in food and fuel prices, the resilience exhibited by the region during...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Egypt ready to talk over allocation of Nile waters Egyptian women wash pots and pans in the River Nile in Qalyoubia village north of Cairo. Photo/FILE By CHRISTINE MUNGAI THE EAST AFRICAN...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wafanyabiashara wasaidiwe Friday, 06 May 2011 20:36 Happy Lazaro, Arusha SERIKALI imeshauriwa kuweka utaratibu maalumu ili kuwasaidia wadau mbalimbali wa biashara wanaotaka kuanzisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana-JF. Ninauza kiwanja kina nyumba ndogo pembeni yenye chumba kimoja, dinning na choo pamoja (selfcontained). Nyumba ndogo haijakamilika, bado paa na finishing zingine kama milango na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jf,ninahitaji power cable(adoptor) ya laptop aina ya dell output voltage 19.5!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukifika Tanzania magari mengi yanayoonekana barabarani kuanzia ya serikali hadi ya watu binafsi ni ya Kijapan. Ni vigumu saana kuelewa kwanini baadhi ya magari mengine hayapo kabisa au lipo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana JF naomba msaada wenu iwapo yupo anaejuwa ama ana ushauri juu ya kupata petrol station ya kukodi hapa Dar es Salaam.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzanians lose out on consultancy jobs By Felix Andrew 6th May 2011 90 percent of the 4.2trn/- spent annually goes to foreign firms At least 90 per cent of 4.2trn/- spent annually for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom