Uchakachuaji huu ni positive! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuaji huu ni positive!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by NATA, Apr 18, 2011.

 1. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa mnywaji wa heneken tangu miaka ya 90, hakuna bia iliyo nishawishi kuacha heneken kwani ilikuwa kinywaji bomba sana.

  kwa cku nilikuwa nanywa si chini ya sita.
  Lakini baada ya kuchakachuliwa kwa hii kitu kila ukinywa unaona utofauti wa hali ya juu na inakufanya uumwe kichwa na kukosa usingizi .
  Baada ya kuona hivyo nikastop kutumia hii kitu na ni kawa safi .

  Mh nashukuru wachakachuaji wamenisaidia kuacha pombe!

  Je hii kampuni ya heneken inataarifa kuwa bia yao imechakachuliwa vilivyo hapa bongo?
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kunywa bia za TBL
   
 3. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kumbe watu mnakunywa pombe mkiwa hampendi eeeh! Huu ni udhihirisho kuwa huo ni utumwa wa aina yake ukiongozwa na pepo wa ulevi.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kama umekunywa bia iliyo na jina la kama kwenye red... ndiyo maana umeumwa na kichwa
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nilisha jaribu hizo zikanishinda , ni heineken pekee iliyokuwa ina nifikisha
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Cjakuelewa mkuu
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,062
  Likes Received: 6,514
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa ninapita njia, nawatakia kila la kheri.
   
 8. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Mkuu nilimaanisha kuwa, mtoa mada anashukuru kuchakachuliwa kwa hiyo pombe maana kumemsaidia kuiacha. Hii inamaanisha kuwa mtoa mada alikuwa anakunywa pombe bila kupenda, na kwa tafsiri nyingine kuwa imemusaidia kuacha kitu kibaya. Na katika ulimwengu usioonekana, watu wanafanya vitu vibaya kwa kuongozwa na mapepo (mashetani) husika katika fani hiyo mfano ulevi n.k. Natumai nimeelewa sasa.
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Si kweli ile origina ilikuwa poa kabisa. ilikuwa inanifikisha but hii chakachu haifai kabisa
   
 10. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Au bajeti ndiyo iliyochakachuliwa mkuu!
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Budget si tatizo mkuu, tatizo ni bia imechakachuliwa na kuwa mbaya kuliko
   
Loading...