Leo J'tano Dhahabu imepanda bei:Jee nasi huku tunafaidika na bei mpya?

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Habari kamili inapatikana hapa chini
Gold price breaks through $1,500-an-ounce barrier | Business | The Guardian

Gold price breaks through $1,500-an-ounce barrier

Gold hits new record price as global economic fears push investors into seeking safe haven

gold-bullion-007.jpg

Gold is fetching a record $1,500-an-ounce barrier, underpinned by a weak dollar. Photograph: Sebastian Derungs/AFP/Getty Images

    • Gold breached $1,500 per ounce for the first time on Wednesday and is expected to hit $2,000 by the end of next year as a perfect storm of concerns about inflation, debt, the US dollar and unrest in the Middle East pushes up precious metals.

      The price of gold – up 27% in the past 12 months and 50% in over three years – is expected to continue to rise for at least another year to 18 months, as investors carry on shunning risk in favour of so-called safe haven assets.
 
Ndio. Kimsingi katika mrabaha (royalty) bei ikipanda kwa say 1% basi na kiasi cha mrabaha kinaongezeka kwa 1% kwa kila wakia (ounce) inayouzwa. Mengine kama vile kodi huja mwisho wa mwaka.
 
Ndio. Kimsingi katika mrabaha (royalty) bei ikipanda kwa say 1% basi na kiasi cha mrabaha kinaongezeka kwa 1% kwa kila wakia (ounce) inayouzwa. Mengine kama vile kodi huja mwisho wa mwaka.
Lakini je yawezekana kutekelezwa?
 
Ndio. Kimsingi katika mrabaha (royalty) bei ikipanda kwa say 1% basi na kiasi cha mrabaha kinaongezeka kwa 1% kwa kila wakia (ounce) inayouzwa. Mengine kama vile kodi huja mwisho wa mwaka.

Nimeshasikia kwamba baadhi ya nchi zenye dhahabu katika miakataba yao kuna kipengele kama hiki, sijui kwanini hakiingizwi kwenye mikataba hiyo bomu. Mpaka aliposaini mikataba ile bei ya dhahabu duniani ilikuwa $260 na sasa imefikia $1,500 lakini Watanzania hatufaidiki na chochote kutokana na kuongezeka kwa kasi kwa bei ya dhahabu. Wanaofaidika na makampuni hayo ya nje kwa kupata faida kubwa na pia shareholders kwa kuongezeka kwa thamani ya shares zao na si ajabu kulipwa dividends kubwa...sisi wenye dhahabu yetu hatuambulii chochote zaidi ya kuachiwa mashimo na uchafuzi wa mazingira!!!!

Back
Top Bottom