Re; bei ya mahindi/ karanga

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Habari zenu wadau?
Naomba msaada wenu.

Ni sehemu zipi kwa mikoa ya Rukwa(mfano Mpanda n.k) na Tabora nitapata mazao yafuatayo:
Mahindi: Debe moja (ndoo ya lita 20) - kwa bei isiyozidi sh.2,500/=
Karanga: Debe moja (ndoo ya lita 20) - kwa bei isiyozidi sh. 2,000/=
 
Kwa mahindi nenda swanga,ila 2500 utauwa wakulima!Ila uende kuanzia mwezi 6/7.


all the best angalau unawahakikishia wakulima soko la ndani!
 
Swanga nd'o wapi mkuu? Wanauzaje? Barabara zinafika? Nataka niwatoe kimtindo wakulima wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom