Natafuta mashamba na bei zake huko morogoro au pwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mashamba na bei zake huko morogoro au pwani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by marandu2010, Apr 13, 2011.

 1. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  habari wakuu,naomba mnisaidie bei za mashamba huko pwani na moro zikoje kwa wale wanaofahamu.natanguliza shukrani zangu.
   
 2. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pwani - wilaya ya bagamoyo kuelekea msata - inategemea - kuna maeneo mengine ni 400,000/- kwa acre moja; pengine 250,000/= inategemea muuzaji.

  All the best
   
 3. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Moro kuna maeneo waweza bahatika kwa bei isiyozidi 20,000/= kwa ekari.
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  nipm nahitaji hayo ya 20,000 tafadhali
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni wapi huko, nami nimevutiwa napenda kujua maeneo yenyewe husika.
   
 6. m

  matshs Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 53
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  ni pm nitakupa deatails za mashamba tena yanauzwa sasa kwa urahisi huko pwani!!
   
 7. k

  kituro Senior Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mashamba ya 20,000 utaambiwa mbele ya dumira ambako hata maji huwezi kupeleka, ila kama mnataka kuwa na mapori tu ambayo badae vitakuwa viwanja, hayo yapo!. ulizia vizuri mie niliwahi ambiwa kuna ekari arobaini zinauzwa 3.5M nikafurahi lakini nilipoambiwa maeneo na kuhadisiwa mazingita hata hamu iliniishia!. uliza vizuri mie siyo mzoefu wa morogoro!
   
 8. marandu2010

  marandu2010 JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 1,177
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  nashukuru mkuu kwa taarifa hii,bila shaka itanisaidia sana katika kufanya maamuzi.
   
 9. T

  Tall JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hata mimi nayataka,please do the needful
   
 10. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nina Mashamba kijiji cha Gwata, Chalinze.
  Heka nauza kwa laki 4.
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mashamba basi wanaJF, ni polini tena huko morogoro kwa watani zangu wanaosema "sima taa" badala ya "zima taa" utapelekwa polini, ila vizuri kujionea na kufanya maamuzi sahihi. Huko pwani hata mimi nayataka.
   
 12. wasaimon

  wasaimon R I P

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi imenivutia hiyo ya Tsh 20,000/= kwa ekari, ni Moro sehemu gani?
   
 13. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu unawatania wenzako wanasema 'sima taa' mbona wewe unakosea unasema polini badala ya porini, toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako mkuu.....
   
 14. g

  gogozito Member

  #14
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kaka umeuliza mashamba moro na pwani. Hujatuambia ni kwa ajili ya kilimo gani kwa moro kuna kilimo cha mpunga, mahindi na mazao mengine, au unataka mapori kwa ajili ya kupanda miti ya mbao. naona umekuwa interested na bei ya 20,000.pls fafanua unataka ardhi kwa ajili ya nini mkuu
   
Loading...