Kikwete vikao vya ndani Tbc 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete vikao vya ndani Tbc 1

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Giddy Mangi, Apr 20, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakika Jakaya ameishiwa kwanini vikao vya ndani na mawaziri wake kwenye tv inauma sana kwani wao hakuna walilofanya na wanaonyesha uchafu wake kwenye Kipindi anachokiita maalumu ikulu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  ngoja tumuone naili tujue pumba ni zipi, kwa sababu hiki ni kivuli chetu na hatuwezi kutoka nduki
   
Loading...