muda wakurudisha mkopo bank

nasri

Member
Mar 11, 2011
59
8
wadau wa jf, naomba mnisaidie kwa yeyote mwenye idea ya mikopo! je ukikopa bank mil 50 kwa kutumia hati ya kiwanja(nyumba), utaitaji kurudisha hiyo pesa kwa mda gani na kiasi gani kilia mwezi! pia utaanza kurudisha baada ya mda gani toka ulipochukuwa loan!
 
ni makubaliano kati yako na benki uombayo mkopo na viwango vyao ya riba. kama unataka muda wa miezi 12 basi hela ukopayo itagawanywa kwa miezi 12 na riba yao na gharama zao nyingine husika. watakueleza sio tu kiasi unachopaswa kulipa kwa mwezi bali na tarehe ambayo makato yatakuwa yanafanyika. hii itakusaidia kuweza kujua kuwa muda umefika na ujitahidi kuweka kiasi kikatwacho na benki kwenye akaunti yako. unaweza kuwa na mkopo huo kwa muda mrefu zaidi km miezi 24 ambako manake utakuwa unalipa kiasi kidogo zaidi kwa mwezi, ila mwisho wa siku utakuwa umewalipa riba zaidi. ni maelewano ambayo yanategemea unataka kufanya shughuli gani na huo mkopo. nadhani nimesomeka
 
wadau wa jf, naomba mnisaidie kwa yeyote mwenye idea ya mikopo! je ukikopa bank mil 50 kwa kutumia hati ya kiwanja(nyumba), utaitaji kurudisha hiyo pesa kwa mda gani na kiasi gani kilia mwezi! pia utaanza kurudisha baada ya mda gani toka ulipochukuwa loan!

Mkuu i think you have to do loan window shopping from various banks. Gather enough information, banks like other businesses resort to sell to their existing customers to grow their loan books. (keep in mind that Zao la benki ni pesa) It is important that you get to understand the kind of loan that your bank offers. This will give you a better understanding of which product you are to get. You need to ask yourself how you would repay the money, with your existing income without any difficulty, if today you were to secure a loan. Consider how to spend the loan, you should compare the cost of the interest on the loan with the returns you expect from the use of the loan. For instance, if it is to finance a business venture, the revenue generated should be sufficient to cover the interest cost and still earn you some extra profits. I think tatizo sio muda wa kurudisha rejesho ila returns za hiyo loan baada ya kuitumia.
 
thanks wadau, nashukuru nimepata mwanga kidogo, saa najua nianzie wapi
 
Back
Top Bottom