Wasanii wetu vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii wetu vipi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by luckyperc, Apr 21, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ikiwa wanalalamika hawapati kipato cha kutosha mbona wanawaendekeza makampuni?
  hivi msanii katika nyimbo yako unataja jina la company kwa kushukuru?
  hivi amejiuliza hiyo nyimbo inapigwa na media ngapi na itasikika kwa watu wa ngapi?
  Kipato company itakacho kipata kwa kutajwa je return yake kwa msanii inakuwaje!
  Wasanii hawana elimu ya marketing au ndo wanaona sifa 2.
  Mfano Dullysykes katika wimbo wa "Bongo fleva" anataja Home shopping centre huku akuna malipo anayopata zaidi kupewa pazia na makapeti.
  waende darasani wapate elimu ya biashara.

  NAWASILISHA
   
Loading...