Kuna taarifa kutoka katika chanzo cha uhakika kwamba kampuni la Alpha ambazo zinamilikiwa na familia ya Edward Lowassa ambazo zinatengeneza mabilioni ya shilingi katika mitandao yake ya...
Duh sisi wateja wa star times kwa kweli hatutendewi haki maana tunalipia elf tisa kwa mwezi ili tuone nn yaani kila channel ambayo ni ya muhimu inaandika non conax programme!ss nashanga hata...
Kila kukicha vikundi vya kukodi kwenda kuomboleza misibani vimekuwa vikiongezeka kwa kasi jijini Dar es Salaam. Je huu ni ubunifu wa ajira au ni ufinyu wa fikra?
Kwa mujibu wa IMF miaka mitano kutoka sasa uchumi wa China utaupita ule wa USA na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 1890 pale uchumi wa USA ulipoupita ule wa UK.
Je hiyo itakuwa ndiyo...
Nina biashara ya Grocery store na Internet cafe.Je nitatumiaje biashara hizi ili kupata mkopo kama Bank na taasisi zingine za kibenki.NATANGULIZA SHUKURANI.
Any one with idea where i can get usb cable and charger for digital camera samsung es70 pliz inform me simply nimezunguka maduka kibao kariakoo and posta without mafanikio.. dau nono kwa yeyote...
Rais mkapa alifanya biashara akiwa ikulu ingawa alikatazwa na baba wa taifa mwalimu nyerere, akauza nyumba za serikali kwa wahindi kwa bei poa huku akiweka 10% mifukoni, ameuza mashirika ya umma...
...Pasaka ya kichovu zaidi
Wakuu. Nimeshakula pasaka zaidi ya 36, lakini hii ya mwaka huu naona ndio ya KICHOVU ZAIDI kuliko zote katika kumbukumbu zangu za hivi karibuni...:angry:
Easter with...
Ningependa kujua makampuni yanayotoa investment advice na services Tanzania, Kenya na Uganda. Contacts zao pia zingekuwa greatly appreciated hasa website zao.
Shukran
YECCO (T) LIMITED was registered and incorporated under the Companies Act No. 12 of 2002 Cap 212 of the United Republic of Tanzania and holds a Certificate of Incorporation No.72307...
Subramaniam aendelea na Kazi pamoja na kuwa na expired work Permit
Naona mchezo mchafu unafanywa kuhusu suala la uhalali wa aliyekuwa Meneja Mkuu wa Fedha wa kampuni ya IPTL, Dk. Magesvaran...
Kuna mtu anauza nyumba M/Nyamala karibu na hospitali
mimi nauliza, hivi nyumba eneo lile zinafika milioni 250?
Ni sawa au ndogo au kubwa?
iko barabarani nyumba na kuna duka...
Btw...
Natafuta patna kwenye biashara ya uvuvi
ninayo leseni ya kuniruhusu kuvua kwenye pwani ya Tanzania.
au kama kuna mtu anayo data base ya makampuni ya nje yenye nia na shughuli hii pevu ya...
Inasemekana Manji ana jeshi la watu kama 70 hivi wote kazi yao ni moja tuu
kubid tenda zote za serikali ya TZ kwa kutumia shell companies
sasa nauliza mtu unainawezaje kuingia kwenye hiii...
Mashara wangu unakatwa 30% PAYE. kile kidogo kinachobaki, kwa kila elfu mbili ninayolipa kununua lita moja ya petroli serikali inachukua sh. 600, Kumbuka hii ni baada ya kunikata 30% kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.