Haiwezekani ninunue 500 MB juma pili leo juma nne ziwe zimeisha huu ni WIZI,au rate yenu mnakata vipi? msiniforce niwachakachue ili nitumie bure ninaweza kufanya hivyo ila niliheshimu huduma yenu...
nipo miongoni mwa watumiaji wa mtandao wa tigo ila hakuna kitu kinachonikera kama hayo matangazo yao wanayo tuma kila wakati.na ni yale yale yanajirudia na wengine ni airtell hawana ubunifu wowote...
Source: The Citizen, Wednesday, 13 April 2011
By Frank Kimboy
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The National Social Security Fund (NSSF) stands to lose a whopping Sh50.27 billion in risky...
MOST DIGITALLY CONNECTED ECONOMIES
Sweden
Singapore
Finland
Switzerland
US
Taiwan
Denmark
Canada
Norway
South Korea
Sweden and Singapore are the most...
Analysis
The normal national budgetary process for the 2011/12 fiscal year should be under way in Tanzania's ministries, departments and agencies (MDAs) and local government authorities (LGAs)...
Serikali kujihusisha na biashara za mafuta ni nia ya viongozi kutafuta rushwa badala ya kujali wananchi. Serikali inashidwa kutatua tatizo la umeme la kununua Generator lakini badala yake inataka...
Moja kati ya Vigezo vikuu vya Miradi ya maendeleo ya Jamii ni ushirikishwaji wa wadau husika. Kushirikishwa kwa wadau kuna faida nyingi ikiwemo, kuleta mchango mkubwa kimawazo kutokana na...
...WanaJF siku za karibuni nimekuwa napata sms nyingi toka VODACOM zinazobeba ujumbe ufuatao..."Wewe ni.....? umepewa namba ya siri SC1 na umechaguliwa kushiriki droo leo usiku ya kushindania Tshs...
Wana JF! Mtaniwia radhi kama naleta hoja mahali pasipofaa, ila nahitaji msaada.
Tunatafuta mtaalamu wa ukweli kufanya finishing (carpentry works) ya nyumba kubwa ya vyumba vitano including...
URGENT: A three bedroom, fully furnished house, is IMMEDIATELY REQUESTED, for lease in the Masaki Suburb of Dar es Salaam. The budget is USD 4,000.00 per month, payable annually. If you are the...
Let start from the beginning how is M-Kesho going to work.? M-Kesho, unveiled by Equity Bank and Safaricom , will allow M-Pesa account holders to deposit and withdraw cash, and get loans. The...
kwenu wana jf...nina idea za biashara, bt sijui jinsi ya kuandika business proposal. mchango wa mawazo ya jinsi ya kuandaa business proposal. Help mi out hea.
Salaam wapendwa, kwa muda mrefu nimekuwa na wazo la kuanzisha business linkages kutokana na uhitaji wa wafanyabiashara wetu. Natafuta mtu mwenye utayari wa kufanya kazi hii.
Asante
Annina
Jamani hivi watanzania tutaendelea lini?ni lini njaa na tamaa zitatuishia?sasaivi zimekuja leseni mpya,walisema ya kwamba hizo leseni hazita tolewa kizembe na kwawale waliopata leseni kiuwizi...
wakuu nalazimika kupongeza hatua ya awali ya lukuvi kuhusu open spaces [dar es salaam].... pia napongeza sana hatua ya kusimamisha baadhi ya watendaji
sasa ni wakati wetu kutoa uthibitisho wa...
Heshima kwenu wanajamvi.
Jana nilipata ujumbe wa sms from AIRTEL kwamba wamezindua huduma yao kijiji Samunge Loliondo kwa Mchungaji Babu.Ndugu jamaa na marafiki sasa mtaweza kuwasiliana na jamaa...
Habari za kazi wana JF.
Tafadhari naomba msaada kwa anayejua kuhusu m-pesa. Nilimtumia mama mkubwa pesa kwenye namba ya simu aliyokuwa anaitumia bila kuuliza kama hiyo laini ameisajili au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.