Utalii ni wa Beach za Holiday resorts, kupumzika na kutumia, sio wanyama jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utalii ni wa Beach za Holiday resorts, kupumzika na kutumia, sio wanyama jamani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pharaoh, Apr 22, 2011.

 1. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Please serikali ya bara ijaribu kuleta wawekezaji wa kujenga mahoteli ya beach resorts, wamwaga watalii kuliko hao tunaowaona Zanzibar.
  Bahari yetu katika baadhi ya sehemu ni nzuri kama ile ya Zanzibar, kwa mfano Visiwa mbele ya mji wetu wa Dar, wengetafutwa wawekezaji wa maana waweke mahoteli makubwa na wa ujenzi unaoheshimu mazingira, badala ya kuvifanya choo cha wavuvi tu, pia Mafia, na sehemu nyingine kibao.
  watu wangepata kazi na watalii kuja, na unajua safari moja huanzisha nyingine, huyo huyo mtalii ndie atakaegeuka mwekezaji.
  Tatizo la serikali nini????
   
Loading...