JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
min -me nitafutie huyu mwanadada mwanajeshi kwa jina ephen_
7 Reactions
135 Replies
1K Views
Wakuu, Naona niendelee kutumia infinix na TECNO 😂 😂😂
1 Reactions
7 Replies
174 Views
Pale Tanganyikaaaa... Lete babaaa..! Kipofu akifufuka leo Tanganyika atachanganyikiwa na mengi sana! Sana! Anaibukia Tandale kwa Tumbo akifika huko hilo tumbo halioni Anatoka hapo mpaka anasafiri...
7 Reactions
26 Replies
413 Views
Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika. Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani...
44 Reactions
880 Replies
43K Views
Mzuka wana jamvi ? Rejea kichwa cha uzi sitaki mambo mengi.
2 Reactions
5 Replies
145 Views
Eti mwana jamii forum, ipi ndio sababu hauna mchezo, wala lelemama na utafutaji🤔? Binafsi: sina hamu na UMASIKINI
5 Reactions
6 Replies
155 Views
Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani Mbwa ni mlinzi mwaminifu Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu
10 Reactions
57 Replies
614 Views
Ndg zangu Amani ya bwana iwe nanyi, naomba niweke wazo langu na nia yangu ya muda mrefu inayochoma moyo wangu. Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu sana juu ya busara za Dada yetu maarufu kama...
2 Reactions
67 Replies
4K Views
I love JF because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the thread is posted in English very few come out to contribute. I have also noted that the only guys who...
11 Reactions
404 Replies
22K Views
Mtu utasikia anadai anaenda sehemu kula bata ila akifika anakunywa soda chips labda na kipande cha kuku. Kwani kula kwa tunavyohisi ni kitendo cha starehe yaani yawe mambo yenye utofauti kidogo na...
13 Reactions
122 Replies
4K Views
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu? Kwa nini hakuna mama ntilie...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Imeulizwa maswali machache, na haya ndiyo majibu.
2 Reactions
20 Replies
351 Views
Kwa nini baadhi ya watu hawapendi kusalimiwa shikamoo?
4 Reactions
24 Replies
337 Views
Mimi paka wangu huwa anaona aibu hata nikimuangalia
2 Reactions
4 Replies
129 Views
Huyu bwana amefagilia uchafu alionao utadhani kitu cha maana sana. Lakini kwa wenzetu kuwa mchafu sana ni mtaji kwani unakuwa umejiajiri, watu wanaingia kukuona kwa dollar. You become a private...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni muda wa kujiachia.. Masingo wanajigeuza tu vitandani Wakataa ndoa wako busy na chabo na vichelema🥸
18 Reactions
201 Replies
3K Views
Mshana Jr
15 Reactions
156 Replies
9K Views
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
12 Reactions
122 Replies
15K Views
Tumekubaliana aje anipikie pilau na nyama, nishanunua kila kitu hapa namsubiri mpishi afike lakini wapi. Na anajua jana usiku sikula kabisa, huyu mdada anataka nife njaa au nipate ulcers...
7 Reactions
27 Replies
391 Views
Back
Top Bottom