JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Time is "makangability" (Time is making ability) Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na...
15 Reactions
113 Replies
1K Views
Kawaida usiku huchukuliwa kama muda wa mapumziko muda wa kuipumzisha akili na ubongo ambao pengine umefanya kazi kutwa nzima Ukiacha wale wenye shift za usiku madaktari, wauguzi, walinzi, na...
12 Reactions
110 Replies
766 Views
Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani. Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana...
14 Reactions
130 Replies
1K Views
Saivi ni mida ya kwenda kunywa bia na kidar pembeni. Hivi unaenda mwenyewe ama kuna mtu anakpa kampani.
4 Reactions
28 Replies
275 Views
Mada spesheli ya vijana Mambo vipi machalii wa jukwaani na wale warembo wanaosubiri PM (Private Messages) kwa hamu! Hivi karibuni nimekaa nikakumbuka ile tamthilia ya tangu enzi zile isiyoisha...
5 Reactions
74 Replies
731 Views
Kila mmoja anapenda kuwa tajiri, na hii inatokana na faida nyingi uzipatazo pale unapokuwa tajiri. Na unapozungumzia utajiri, unazungumzia kumiliki rasilimali fedha, watu, majengo, mashamba...
5 Reactions
39 Replies
456 Views
Mtaani kuna jamaa kaoa mwaka jana na kweli toto si toto. Nyash kama lote kwa ujumla ni wale warembo waloumbwa wakaumbika. Sasa siku ya kwanza kumuona kweli shetani na miguu yake akanikanyaga...
0 Reactions
4 Replies
201 Views
Fedha inahitaji ulinzi sana Sio ule wa bank NO.
3 Reactions
18 Replies
253 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Leo bhana, katika pitapita zangu za hapa na pale, nikaangukia shule fulani, Basi bana, nikakutana na mwanafunzi kapendeza zake, lakini shingoni kavaa bango kubwa limeandikwa “Swahili Speaker”...
1 Reactions
6 Replies
259 Views
Juzi kati nimepiga kapicha flani apo amaizing ila kamenishtua kidogoo mazeee, nina miaka 30 ilaa daah... Nifanyejeee nirudi ujananii?
5 Reactions
25 Replies
391 Views
Kuota umepoteza kiatu kwa ujumla kunaashiria kupoteza mwelekeo, kukwama kwa safari ya mafanikio, au kupoteza utambulisho na ulinzi katika maisha yako ya kila siku. Kiatu katika ulimwengu wa...
12 Reactions
70 Replies
731 Views
Hamjambo? Mwaka 2011 na 2012 nilikuwa naishi maeneo ya mgodi tz hii hii. Sa tukawa tunaenda kuokota yale wawe yanayomwagwa sehemu na unakuta yana dhahabu hata ya kuuza had m30. Sku moja...
9 Reactions
66 Replies
912 Views
Mimi kama Gen Z naomba nianze Hivi Millenials ilikuwaje mkawa yale mashati ya shule mnayatumbukiza kwenye ile mliyokuwa mnayaita BLUU? Kaka yangu alikuwa na huo mtindo kila akirudi shule alikuwa...
18 Reactions
65 Replies
933 Views
" Bubu anaitwa Maneno " 😂😂 "Nakunywa Serengeti Ngorongoro" "Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe" Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
16 Reactions
56 Replies
2K Views
Cc: Eronda Archival Sense
0 Reactions
4 Replies
149 Views
Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪 Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata Kwa umri...
16 Reactions
70 Replies
817 Views
Aliyetengeneza bunduki ya AK 47 kabla ya kifo chake alitubu na kujutia silaha yake ile.. Badala ya kuwa msaada vitani ikawa killing mashine iliyoteketeza mamilioni ya roho zisizo na hatia Huko...
19 Reactions
175 Replies
2K Views
Kumekuwa na hali ya kila kizazi kukishangaa kizazi kingine, mfano Millennials wengi wanawashangaa namna Gen Z wanavyochukulia mambo, wanaona kama wanayachukulia kwa wepesi hata kama yanaonekana...
3 Reactions
7 Replies
173 Views
Back
Top Bottom