Don’t hate what you don’t understand

Joie de vivre)
I appreciate your compassion and understanding. If you ever need a friend to listen to, I’ll always be here to return the favor. You are energetic lady , you never go down. Itabidi kuwe na kikao maalum kuhusu marryjane, tumuombe awe royal kwako kama ulivyo royal kwake (jokes).

To tolerate fools more gladly, provided this does not encourage them to take up more of your time. Happy New Year in Advance. ✌️
💐💐
 
Kuna baadhi ya ID's hapa JF ni bendela fata upepo, hawana direction wala msimamo. Hawa watu ni rahisi sana kukuchangamkia halafu wakiona umetofautiana na mtu mwingine ambae wako nae karibu, basi na wao wanakuwa maadui zako. Niwakumbushe tu sio lazima mbaya kwa mwenzako akawa mbaya kwako pia. Msipende ku-share ugonvi kwa Bluetooth.
😂😂 Mungu bariki hii forumn
Ndo watu wako waishi peaceful
Wakichoka, walog out na sio lomoni.
 
Jf siku hizi kwa mtazamo wangu naona kumepoa hakuna habari za kindaki ndaki za kuelimisha na kuburudisha!!

Jf now unaweza ukaperuzi majukwaa yote muhimu kwa dk kidogo umeshatoka😆
Kipindi cha hapo nyuma unaweza tulia if kutwa nzima kwa hbr moto moto

Hbr kama hii ya kufafanuliana uhusika wa members wa jf ambao wanatumia id fake nayo naona ni uchawa uchawa tu usiokuwa na maaana!!
 
Wewe ambae uko above 50 now, acha makasiriko na @Rabbitus. Hauko msafi kama unavyojimwambafai public. Sikukutuma ufanye harakati za ubazazi, nimekusamehe na kukusitiri for now, but behave sitaki dharau
😂😂😂😂 dah! Ila Jf kudadeki kila mmoja kule ndichi amepata funzo lake
 
Ukishajua kwenye maisha kila mtu anacheza mechi zake na hakuna mtu mwenye jukumu la kukufurahisha au kukuelewesha kuhusu movements zake. Utaishi kwa raha sana japo hili sio rahisi kulijua au kulikubali ukiwa bado mtoto maana ni lazma ufikie level flani ya maturity kulitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom