Wanaaga halafu hawaondoki

Wanaaga halafu hawaondoki

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,172
Reaction score
843,304
Hii mada ni kuhusu ndugu zetu hapa JF ambapo hufikwa na majanga fulani kimaisha na kuona kila kitu ni kibaya
Hujihisi kutengwa, kutothaminiwa na hata kutopendwa.. Akichanganya na stress binafsi huamua kuweka uzi wa kuaga mazima.. Lakini changamoto zikipita mnamuona tena jukwaani

Mimi huwa nawafananisha hawa ndugu na wale mabinti wanaoenda airport na mabegi wakijifanya wanasafiri ughaibuni na kupiga mapicha meengi kisha kuchukua bora na kurudi nyumbani

Leo nimemuona aliyetuaga last year yupo hapa kimyakimya😀
 
Usiwasahau na wale wanao check-in huku wanatupa taarifa! Cha ajabu wanareply huku wako angani na bado wanaiba picha za watu wenye pesa kwenye magari wanakuja kuturusha roho makapuku😞
 
Usiwasahau na wale wanao check-in huku wanatupa taarifa! Cha ajabu wanareply huku wako angani na bado wanaoiba picha za watu wenye pesa kwenye magari wanakuja kuturusha roho makapuku😞
😀😀😀
db31bfde-811c-42b1-83b2-a9fea50848ae.jpeg
95cfb59b-6fa1-42a3-b56e-88f22bd21656.jpeg
2f751fc8-1d06-4bc1-b007-863bba2ec3bc.jpeg
 
Hii mada ni kuhusu ndugu zetu hapa JF ambapo hufikwa na majanga fulani kimaisha na kuona kila kitu ni kibaya
Hujihisi kutengwa, kutothaminiwa na hata kutopendwa.. Akichanganya na stress binafsi huamua kuweka uzi wa kuaga mazima.. Lakini changamoto zikipita mnamuona tena jukwaani

Mimi huwa nawafananisha hawa ndugu na wale mabinti wanaoenda airport na mabegi wakijifanya wanasafiri ughaibuni na kupiga mapicha meengi kisha kuchukua bora na kurudi nyumbani

Leo nimemuona aliyetuaga last year yupo hapa kimyakimya😀
Fact
 
Back
Top Bottom