Tulimtafuta siku nne tulimkosa 😂😂

Tulimtafuta siku nne tulimkosa 😂😂

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,032
Reaction score
859,123
1778160577347.jpg
Wewe kwenu ilikuwaje?
 
Mama mdogo aliondoka na sufuria la ukoko akaaga anaenda kuosha mtoni,baada ya siku mbili ikaja fahamika yupo kwa mwanaume na sufuria alilificha kwenye kichaka.
Nikimkumbusha mama mdogo lile tukio huwa anajisikia vibaya kwasababu ana mtoto wa kike msumbufu hivyo hivyo.
Pumzika kwa amani baba mdogo
 
Karma imefanya yake🤣
 
Alikuwa binti yangu wa kazi ,kwanza alianza kubadilika kila kitu alipenda kwenda sokoni yeye mwenyewe ukisema dada yako atabeba ni ugomvi

Siku hiyo kapakua chakula vizuri tukaanza kula ,huku na huku nasikia mbwa wangu wanabweka sana nikasema wacha nile nimalize nikafanye ukaguzi wa nyumba ,baba mjengo mimi .

Ghafla akasema wacha nione shida ni nini maana na paka alianza kukwaruza ukuta ,alipotoka yule dada sikumuona tena ,si mimi wala ex wife aliyekuwa na amani kwa kupotea kwake ,ikatolewa taarifa ,uchunguzi wa hali ya juu nikafanya ila bado sikubahatika kumpata yule dada .

Baada ya mwezi mmoja napigiwa simu na wife nilikuwa kazini yeye alibaki nyumbani kutwa akisubiri aingie kazini usiku ,anasema kuna wazee wa makamo wawili wananihitaji nyumbani

Nikafanya process za ruhusa walau ya masaa mawili ,nafika nyumbani kwa ule uvaaji wa makoti nikajua fika hapa ni barua ya utambulisho ,nikipiga hesabu sina binti mkubwa wala sijawa na umri wa kuozesha sasa kuna nini hapa

Nazqma ndani tunakaa kitako na wazee wanaombq msamaha sana na mwisho wanadai wanatokea huko kwa wanyiha na waliniibia binti yangu nikashusha pumzi kuwa sasa bora binti wa watu kapatikana ila msisahau nilimtoa kwenye mikono ya mama yake mdogo naye ni wa kufikia hivyo binti aliamua anipe heshima kama baba yake .

Nikapokeq barua nikasema nitaijibu walau baada ya mwezi ,ila walaaniwe wanyiha wale yaani mmeniibia binti usiku na bado mnaleta barua na elfu hasmini kweli ?

Ikaniumq mno nikaipokea nikapanga mahari ila mazee yale hayakurudi zaidi ya binti yule kuja kujiuguza wakati wa ujauzito nikakumbuka msemo wa leo eti mahari haimalizwi lakini pia sio wote wanalipq mahari .

Kwahiyo ndivyo ilivyokuwa sasa nina wajukuu wawili wa kiume japo kuna muda natamani yule binti ningemuoa mwenyewe walau mke mdogo ,leo ningekuwa nafurahi na moyo wangu maana alikuwa anajua ni maaana ya mwanaume .

Nilipatwa na msiba ndiyo ikawa mara ya kwanza kukaona kakijana kalikombeba yule binti miaka ile ,kakaja kanajifanya kaniogopa oanaangalia chini eti kananipq mkono wa pole na elfu ishirini mkononi nikawa natamani nikaambie kamalizie hela ya mahari kawatume wazee niwape mrejesho wa barua yao ila ndiyo vile nilikuwa kwenye majonzi yangu nikapotezea .

Ila kananiheshimu sana kuna muda uwa kanapiga nikashauri mambo ya ndoa na maisha naishia kukakwepa nitakashauri nini mimi mwenyewe ya ndoa yamenishinda
 
Ila kananiheshimu sana kuna muda uwa kanapiga nikashauri mambo ya ndoa na maisha naishia kukakwepa nitakashauri ni
Masta kumbe ulikuwa unammendea binti, wahuni wakapita nae kihuni, na mahari hujapewa.... hii haina come back ..
ni mimi mwenyewe ya ndoa yamenishinda
 
Ila kananiheshimu sana kuna muda uwa kanapiga nikashauri mambo ya ndoa na maisha naishia kukakwepa nitakashauri nini mimi mwenyewe ya ndoa yamenishinda🙌🏿😩
 
Masta kumbe ulikuwa unammendea binti, wahuni wakapita nae kihuni, na mahari hujapewa.... hii haina come back ..
Master sikuwa mmendea ila kwa alivyokuwa anajua kunipangilia nguo zangu na misosi kipindi hiko najuta kwanini sikumtongoza sababu nadhani angekuja kuwa replacement nzuri ya ex wife master .
 
Wasukuma wana mila yao inaitwa "Chagulaga", kuna siku mimi nipo barabarani kijijini, mbele kuna mabinti watatu wamebeba vifurushi.
Nakaribia kuwapita wale mabinti wakatokea jamaa vichakani na mavazi yao ya kisukuma, wameshika fimbo.
Kila mtu akakamata wale mabinti mkono, wakageuza.
Ikabidi tushuke kwenye gari, kuanza kufuatilia na kujua kuna nini. Tulipowakaribia wale jamaa, wakatuambia wale tayari ni wake zao. Kinachofuata wakifika nyumbani kwao, ni kutuma salamu nyumbani kwa wale mabinti ili taratibu za kulipa ng"ombe ziendelee. 😁
Tukawaacha tukaendelea na safari zetu.
Sio wasukuma tu kaka ,hata wanyiha wana utaratibu wa hivyo yaani kijana akimpenda binti yako ni kumbeba tu tena wanatumia nguvu utakuta wapo hata kumi wanakuwa na pikipiki au baiskeli kipindi hiko .

Wanamvizia mida ya usiku sehemu isiyo na watu wanambeba tu ikitokea watu wa pale wameonq tukio hawana uwezo wa kufuatilia wala kuingilia maana wanadai ukiingilia wale vijana hawaoni shida kukutembezea kiboko cha haja .

Hii imepelekea vijijini ukikutana na mgogoro wowote wa ndoa utasikia mwanamke analalamika kuwa kwanza huyu mtu mimi sikuwa namtaka ila walinibeba kwa lazima tu
 
Alikuwa binti yangu wa kazi ,kwanza alianza kubadilika kila kitu alipenda kwenda sokoni yeye mwenyewe ukisema dada yako atabeba ni ugomvi

Siku hiyo kapakua chakula vizuri tukaanza kula ,huku na huku nasikia mbwa wangu wanabweka sana nikasema wacha nile nimalize nikafanye ukaguzi wa nyumba ,baba mjengo mimi .

Ghafla akasema wacha nione shida ni nini maana na paka alianza kukwaruza ukuta ,alipotoka yule dada sikumuona tena ,si mimi wala ex wife aliyekuwa na amani kwa kupotea kwake ,ikatolewa taarifa ,uchunguzi wa hali ya juu nikafanya ila bado sikubahatika kumpata yule dada .

Baada ya mwezi mmoja napigiwa simu na wife nilikuwa kazini yeye alibaki nyumbani kutwa akisubiri aingie kazini usiku ,anasema kuna wazee wa makamo wawili wananihitaji nyumbani

Nikafanya process za ruhusa walau ya masaa mawili ,nafika nyumbani kwa ule uvaaji wa makoti nikajua fika hapa ni barua ya utambulisho ,nikipiga hesabu sina binti mkubwa wala sijawa na umri wa kuozesha sasa kuna nini hapa

Nazqma ndani tunakaa kitako na wazee wanaombq msamaha sana na mwisho wanadai wanatokea huko kwa wanyiha na waliniibia binti yangu nikashusha pumzi kuwa sasa bora binti wa watu kapatikana ila msisahau nilimtoa kwenye mikono ya mama yake mdogo naye ni wa kufikia hivyo binti aliamua anipe heshima kama baba yake .

Nikapokeq barua nikasema nitaijibu walau baada ya mwezi ,ila walaaniwe wanyiha wale yaani mmeniibia binti usiku na bado mnaleta barua na elfu hasmini kweli ?

Ikaniumq mno nikaipokea nikapanga mahari ila mazee yale hayakurudi zaidi ya binti yule kuja kujiuguza wakati wa ujauzito nikakumbuka msemo wa leo eti mahari haimalizwi lakini pia sio wote wanalipq mahari .

Kwahiyo ndivyo ilivyokuwa sasa nina wajukuu wawili wa kiume japo kuna muda natamani yule binti ningemuoa mwenyewe walau mke mdogo ,leo ningekuwa nafurahi na moyo wangu maana alikuwa anajua ni maaana ya mwanaume .

Nilipatwa na msiba ndiyo ikawa mara ya kwanza kukaona kakijana kalikombeba yule binti miaka ile ,kakaja kanajifanya kaniogopa oanaangalia chini eti kananipq mkono wa pole na elfu ishirini mkononi nikawa natamani nikaambie kamalizie hela ya mahari kawatume wazee niwape mrejesho wa barua yao ila ndiyo vile nilikuwa kwenye majonzi yangu nikapotezea .

Ila kananiheshimu sana kuna muda uwa kanapiga nikashauri mambo ya ndoa na maisha naishia kukakwepa nitakashauri nini mimi mwenyewe ya ndoa yamenishinda
Dah nimecheka kama Mazuri😆🤣.. ila anyway pole kwa yaliyokufika mdau
 
Back
Top Bottom