Cycles zako JF

Cycles zako JF

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
362,456
Reaction score
835,656
Cycles zako JF ni zipi?
Kumbuka ukikaa karibu na uaridi(waridi) utanukia.. Lakini pia ndege wafananao huruka pamoja
Una team na nani?
JF Elites?
Wambea?
Wazee wa connection
Ma bazazi?😀
Wala bata!? Stress free
Kilinge cha wapigaji?
Haters wasilojitambua?
Walimu na wakufunzi?pamoja na kuwa na majukwaa mbalimbali lakini tuna common sharing zenye muingiliano kwenye kila jukwaa

Baadhi ya cycles hupenda hata kualikana kwenye mada zao👑
e66225f6-92fa-4d38-a35a-18ecc94a4ce3.jpeg
 
Hebu weka hiyo list ya hao JF Elites hapa, na utaje wao ni elites kwenye maeneo (fields or niches) yapi. 👇🏽

Hao wazee wa connection?
Kibongo bongo, neno 'connection' lishakuwa ni neno tata mno, hebu fafanua ni connection zipi?

🍵📣🎶💃
Kwakweli sina list rasmi ya Elites
Lakini hapa tuna wadau wana connection ya kila kitu
Kuanzia vikubwa mpaka vidogo
Vizuri mpaka vibaya 😀
 
Back
Top Bottom