Mchachue..! Mtie ndimu achachuke..!

Mchachue..! Mtie ndimu achachuke..!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,405
Reaction score
857,616
Angalia ni nani unammudu.. Huyo ndie kibonde wako.. Hata lama ni zaidi ya mmoja wachakue wachachuke!
Ila hakikisha una msuli.. Hakikisha una kifua kipana! Hakikisha unawamudu..!

Naanza na Atoto sababu anazijua😎
Donna Jos Sia.jpeg
 
Vipi Wazee tunaruhusiwa kujibebea wa mwaka 2000

Au tukienda safari ya sekunde 29 tutakuja kutangazwa humu kwamba tumepewa kazi lakini tumeishia kuwachafua tu 🤭

Koh koh koh 🏃🏃🏃
Kiranga chao kimenishinda.. Mimi ni wa kulala siku 2 hoi Mimi 🙌🏿🙌🏿 kweli mganga alipatikana😎😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom