Harufu zinazokera

Harufu zinazokera

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,195
Reaction score
843,331
Panda usafiri wa wengi baada ya kazi utakutana na harufu za kila aina.. Na zinakera hasa.. Na zikiwa combined unaweza kupata kinguzumkuti cha kiafya
. Midomo inayonuka
. Vikwapa
.Janabha
. Pad za mp
. Boxer zilizorudiwa kuvaliwa bila kufuliwa
. Vifuniko vya asali vichafu
. Jasho sehemu za pachupachu
. Nywele chafu (kwa majina yake yote)
Nknk
Kwa asubuhi hii sio mbaya sana zaidi ya harufu za vipodozi vyenye kemikali, manukato ya bei ya jioni na marashi yaliyozidishwa kipimo
Sasa combination hii ikutane na ile ya jioni😂🙌🏿
 
Bila kuvumiliana hatutafika😊

Nakumbuka Nlikuwa napanda daladala nna allergy na marashi makali Yale ya kiarabu najikuta nimebanan na mdada kavaa baibui kajipulizia ya kutosha na hewa mzito mvua inannyesha vipo vimefungwa gari limejaa,halafu foleni kubwa haitembei saa nzima ,ni kizunguzungu najikaza nsidondoke😄
Bado Kuna wale wanaovaa raba zinavunda,Kuna wenye majasho nadhani hawaogi week nzima na hili joto la dar
 
Back
Top Bottom