Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Ukiingia JF pita hapa kwanza kutoa salamu

Emily magnus

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2026
Posts
821
Reaction score
1,501
Wakuu! Me mwenzenu nawachukulia ninyi kama ndugu zangu. Sasa nimeona niazishe uzi huu kwa ajili ya salamu na kujuliana hali. Ukiingia tu JF, unapita kwanza hapa. Kuna member mna marafiki humu, kwa hiyo ni vizuri kusalimiana na kujuliana hali.

"Asubuhi njema"
"Mchana mwema"
"Usiku mwema" zitumike.
 
Tusiende mbali, mm mwnyw najipigia debe kwako 😎
Wewe hebu tulia vichaa tukae kundi moja halafu? Kwanza we ushavuka viwango Nataka kijana mstaarabu, mpolee, kila nnachotaka yuko tayari kufanya☺️
 
Back
Top Bottom