JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dingi kanunua simu, amekaa sebuleni na katoto kake anatest mlio, mara dingi ushuzi ukamtoka 'pwi pwii'. Mtoto "Baba huo huo nimeupenda kwa kuwa una harufu pia"
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Juzi nilitembelea ofisi za jamaa wachina wanaitwa Jiteng Consulting Company, hawa jamaa wapo pale Mikocheni B, nilikuwa naonana na mkurungenzi wake anaitwa Mr A. Huang! Katika stori yule mchina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sex
Matatizo ya english media kwa watoto wadogo, siku moja mtoto alichukua paspoti ya mama yake na kuisoma akakuta; name:Anitha ,place:Moshi,Birth:1976,sex:F,Mtoto akamwita mama yake akamwambia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Wana JF. hii kitu ni mpya sasa inaanza kazi itajikita zaidi kwenye media hasa ya audio kwenye web yao ambako wataupload audio za kufundisha jamii! Hebu fungua hapa usikilize audio ya leo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu sikiliza huyu mtoto alivyo mkorofi. Kamtukana Obama live eti hajamuuwa Osama. Katunzo Media Group
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I have found this somewhere and thought it is worth sharing, especially for those who curse drinking. 10% OF ALL ROAD ACCIDENTS ARE DUE TO DRUNKEN DRIVING. THIS MAKES A LOGICAL STATEMENT THAT 90%...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Shoga mmoja aliambiwa utaenda peponi kuna asali tele huko. Shoga. akajibu aaa... sitaki kutafunwa na nyuki, Nipelekeni huko motoni nna udi wangu ntajifukiza. Kero ya nini!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mjukuu:"babu kwani kuna tofauti gani kati ya chupi ya zamani na ya sasa? Babu:"zamani ili uone kalio unapanua chup,siku hizi ili uone chupi unapanua kalio" mjukuu:"sikuelewi babu" babu:"kalio...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikutana na watu wa kabila la wasagara maeneo ya ruaha mbuyuni.Hawa watu shughuli zao kuu ni uvuvi katika mto ruaha.Mto ruaha una mamba wengi hatari.Kitu wanachofanya wasagara ni kula mayai ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Closed
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama. Busara...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Wanajamvi nisaidieni. Nimetembelea mtandao wa CIA na kukuta taarifa za mauaji ya Usama Bin Ladin. Sasa najiuliza kama ndo yuleyule Osama au kuna mwingine. Ninapata mashaka hasa pale tunavyoendelea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Many people think complete and finished have the same meaning,read below: Marry the right person and you are complete. Marry the wrong person and you are finished. Extra joke: A guy comes home...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Alisikika babu mmoja akipita mtaani, na hii ni baada ya kuona wake zake aliowaoa enzi hizo za radio ya mbao hawampendezi jamani nauza niongezee pesa nliyonayo nioe wa kichina maana mjukuu wangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MIMI NASHINDWA KUELEWA MAANA YA USOMI,HIVI KIKWETE ALIKARIRI AU ALISOMA KUELEWA??HATA KIMOMBO TABU???:embarrassed:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Husband and Wife agreed dat,anytime they want sex they'll call it 'phone call' so that their kids wont understand.1 day a husband was horny, he told his son 2 tel her mom that he wants to make a...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi everyone, Read this interesting strory. ******** After 10 years of selfless service, a man realized that he has not been promoted, no transfer. No salaries increase, No any recommendation...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ndio First eleven ya Shetani. Lazima ucheze namba yoyote.1:ZINAA. 2:WIZI/UJAMBAZI. 3:UONGO/UTAPELI. 4:ULEVI. 5:BANGI/UNGA. 6:TAMAA/ROHO MBAYA. 7:DHULMA. 8:UCHAWI. 9:RUSWA. 10:KIBURI/DHARAU...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kijana ndiyo nguzo na nguvu kazi katika jamii yoyote ile, hivyo wewe kijana wa Tanzania, hakikisha unasimama katika mlengo wa kuikomboa jamii yako, kiuchumi,kisiasa,kielimu n.k. Vijana tunawajibu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tupende tusipende kuna mwanzo na mwisho wa kila kitu chini ya jua. Binadamu anazaliwa anakuwa mzee na anakufa ili kuacha nafasi kwa wengine kuzaliwa na kuendeleza jamii. Kila species ina growth...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman nataka uweka audio humu nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom