Aliyeuawa si Osama Bin Laden bali ni Usama Bin Ladin

regam

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
269
Reaction score
52
Wanajamvi nisaidieni. Nimetembelea mtandao wa CIA na kukuta taarifa za mauaji ya Usama Bin Ladin. Sasa najiuliza kama ndo yuleyule Osama au kuna mwingine. Ninapata mashaka hasa pale tunavyoendelea kupata taarifa mbalimbali wengine wakihoji kuuawa kwa Osama. Isije ikawa aliyeuawa ni Usama Bin Ladin na sio Osama Bin Laden!
Pitia hapa: www.cia.gov Nawasilisha!
 
regam,

Jana ulilala Baa gani? Maana ugumu wa maisha unafanya watu kulewa mpaka asubuhi!
 
uvivu wa kufikiri unakusumbua
 
Walioshuhudia mauaji wanamuombea, wewe endelea tu kusema sio yeye aliyekufa!

attachment.php
 
Hukuingia duh kapime macho kama herufi O uliona juu ipo wazi.
 
Back
Top Bottom