Una nini cha kukumbukwa katika jamii yako?

Una nini cha kukumbukwa katika jamii yako?

Nyakarungu

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
472
Reaction score
377
Kijana ndiyo nguzo na nguvu kazi katika jamii yoyote ile, hivyo wewe kijana wa Tanzania, hakikisha unasimama katika mlengo wa kuikomboa jamii yako, kiuchumi,kisiasa,kielimu n.k.
Vijana tunawajibu wa kuitumikia jamii (JAMII INATUDAI), ikiwa taifa litateketea chini ya uwepo wetu, wajukuu zetu watayapiga makaburi yetu kwa mawe, kwa hasira dhidi uvivu na ujinga wetu, Grayson 2010.
 
"I thank God that I can look back with my head up not Down!" I live in this philosopy
 
Kazi yetu kukaa JF kumjadili Ridhi 1 hatujawahi hata kuchangia damu tone moja
 
Mkuu mimi nimejilipua,lakini kila mwezi natuma dala kwa wajomba na mashangazi ili wasomeshee watoto zao.Vipi hapo??Mkileta uraia wa nchi mbili nitakuja kugombea 2015,manake nakubalika sana kwetu kwa mambo ninayofanya
 
Back
Top Bottom