Mbowe na Lema ni hatari kwa CHADEMA

Status
Not open for further replies.

PETERMKALI

New Member
May 4, 2011
3
1
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.
 
vyama vya msimu vinatuumiza kichwa! HEBU KAMALIZIENI MAGAMBA YENU ACHENI UJINGA WENU! HV MWENYEAKILI CCM NI NAPE PEKEYAKE WENGINE PUMBA TUU!
 
Hujisikii vibaya kutangaza hapa kwamba ulipokea rushwa? Msomi gani wewe unayepokea rushwa iliufanye kitu usichokitaka au kukiamini? Ningekuwa wewe ningeiondoa thread hii hapa kujiepusha na aibu. Kweli wewe huna maana!
 
Mbona mmemsahau Bwana Zitto Kabwe ambae nae ni mmoja wa watu wanalolea makundi kwenye hikl chama
 
Nyie Ndio Kisima cha ufisadi, Kila kitu kwa siri, Sasa hayo ni mambo yamewekwa Hadharani!! Unabidi Mujue CDM hawana misamaa ya kodi kama Magamba!! Nyie Hard Top 300 mpya with full misamaha ni Jadi Yenu!! Sasa sisi maskini hata mtu akituuzia bajaji aliyoichoka si Mbaya bora itufikishe kwa Wananchi!! Si Muda wa kununua magari ya Hanasa kama magamba!! Pia wewe mleta Hoja unaonekana kuwa na Uchungu na CDM, NINGEKUSHAURI UTUMIE NJIA HIYOHIYO KUSHAURI NAMNA YA KUTOA MAGAMBA YOTE
 
haya bwana hapa kuna ishu mbili kuna watu wanamsupport zitto then wanampinga lema na wengine wanamsupport lema na wanampinga zitto.

kwa upande wangu lema yuko sahihi kusimamia anachosema tuwe makini na watu waoga na mamluki wasije wakaharibu chama,nimeshangaa kusikia udom walipewa fedha kwa akili ya haraka huwezi gawa fedha kwa wanafunzi wakafanya kitu kilichopo ni kwamba walishawishiwa na wakakubali, lema anajijenga vizuri kwa kupambana kila mkoa

nawatakia heri wanachama wote wa chadema amani na upendo
 
Hisia zitatufikisha wapi? Siasa chafu na fitina ni silaha ya wanasiasa Dhaifu.
Some Political jobbers have chosen to walk the path of dishonour and character assassination, so long as it will put food on their table.

I believe that Public office is a pedestal for a good Leader to use his/her strength of character to add value to the office by serving the people he meant to serve and giving glory to our Creator.

Anyone who use devide and rule with tribal bashes,doesnt factor in the Equation of Radical reforms/changes.
I went through the posters intent and was disappointed that all he could do was to insuniate and inciting verbal war on the tribes instead of focusing on the issues
 
kweli wewe humjui lema mbona ni wa kawaida sana hana fedha kiivyo labda kama umemfananisha na Lema Njake , lakini huyo wa CDM ni full mchovu sasa ndiyo anaweza kupata ahueni ya umasikini
 
Mtandao ambao mbowe anaujenga na wenzake unaoonyesha busara ndogo za mbowe na umesababisha vitendo vya sirisiri ndani ya chadema dhidi ya watu fulani, hii haijengi umoja ndani ya chama.

Busara ndogo za mbowe zinaonekana pale anapofikiria vitendo na maneno ya godbless lema yatakuwa siku zote kwa masilahi ya chadema kwasababu tu ni mmachame mwenzie.

Tukumbuke ni lema huyo huyo ndiye aliyekuja chuo kukuu cha dodoma na kutuhonga ( kutupa rushwa) ili tuandamane kupinga shibuda kuonyesha mtazamo tofauti ndani ya bunge, bahati nzuri wanafunzi wenzetu ambao hawakupata hela walikuwa wakali dhidi ya hili.

Bila ya shaka lema alifanya kitendo hiki bila ya kuwa na upeo wa kujuwa kwamba kinaweza kuchafua jina la chadema na kuharibu umoja ndani na nje ya chama.

Chuo kikuu cha dodoma kina watu wakabila mbalimbali, asifikirie wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaamini mtu ambaye anaweza kutetea masilahi yao ni yule ambaye kazi yake nikusema ndio bwana mkubwa kwa mbowe.

Mimi binafsi naweka imani yangu kwa mwanasiasa mwenye mawazo huru na ambaye hawezi kuburuzwa na mtu au kundi lolote. Najiuliza je hawa watu washawahi kusikia kuhusu joe lieberman wa democratic party aliyeenda kuhutubia katika mkutano wa kuzindua kampeni za republican party na kumpinga mgombea wa chama chake(obama wa democratic party).

Labda mbowe kuna kitu anatakiwa kujifunza kutoka kwa obama au democratic party; obama anaelewa pale kura za chama chake hazitoshi ndani ya bunge mtu ambaye anaweza kumtumia kupata kura za wabunge wa republican ni joe lieberman(shibuda), kwasababu ameonekana mawazo yake yako huru.

Kama kuna mtu yoyote ndani ya chadema ambaye anaweza kushawishi wabunge wa ccm wapige kura za ndio kwajambo ambalo chadema wanataka, basi mtu huyo ni shibuda.

Watu wa shinyanga wametumia uhuru wao vizuri kuchagua mtu ambaye wanamtaka, lakini kuna watu wachache (mbowe na lema) wanataka kuwachagulia watu wa shinyanga kiongozi ambaye kazi yake itakuwa ni kujipendekeza kwa mbowe.

Watu wa shinyanga wanajuwa shibuda anavyojitolea hasa ukizingatia chadema sio chama chenye uwezo kifedha. Tumemuona akitumia muda na hela binafsi kutatua matatizo ya watu wa maswa, iwe siasa (uchaguzi) au uchumi; hapa nazungumzia juhudi binafsi sio za chadema.

Umefika wakati wa kukubali ukweli kwamba mbowe hana sifa wala busara za kujenga chadema imara, bora achaguliwe mtu mwingine (dr. Slaa).

Tukumbuke ukiwa ndani ya chadema sio maana yake wewe sio fisadi, sio maana yake wewe ni msafi. Ukichunguza historia ya mbowe au lema unaweza ukakuta hawana tofauti na rostam azizi.

Lazima tuwe makini nani tunampa madaraka ya kutuongoza. Tusiwape watu ambao wanatafuta nafasi za kufanya ufisadi. Mmesikia kuhusu ufisadi wa magari mitumba chadema.

Karibu mwana CCM, naona ndo mmeanza kutekeleza mambo yenu ya kisayansi.
Kaibu tena
 
Wa2 wengine kama huyu (Petermkali) mi cjui ndiyo wanakosaga kazi ya kufanya mi nakosa majibu ila hakika ni wale wa2 wanao2mika na kile chama cha mapapa na cyo kingine ni kile 2nachokijua. NA BILA SHAKA MI NAOMBA WAJIREKEBISHA KWANI HILA NA NJAMA YAO 2NAYO. Pumbavuuuuuuuuuu sanaaaaaaaaa!!
 
Wakati TAKUKURU wanazifanyia kazi tuhuma zako,inatakiwa kuanza na wewe kwani unakiri kupokea rushwa.Kweli wasomi tunao TZ hii!!
 
Unadhalilisha chuo chako ni heli ungesema wewe unatoka vijiji vya dodoma kuliko ulivyodai unatoka chuo cha Dodoma ni aibu kwa msomi kuwa na akili iliyoingia kutu kama hiyo ya kukukili kupewa rushwa ambayo sidhani mheshimiwa Lema angekuwa na fedha kiasi cha kuwapa wote waliomuunga mkono sema jingine umeshindwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom