Husb n wyf want sex

Husb n wyf want sex

Quinty

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
462
Reaction score
74
Husband and Wife agreed dat,anytime they want sex they'll call it 'phone call' so that their kids wont understand.1 day a husband was horny, he told his son 2 tel her mom that he wants to make a 'phone call'. Mom replied; tell ur dady that network is bad 2day. Daddy responded,tel ur mom dat if there is no network at home i'll go for a public fone.Wyf replied,tel ur dad that if he dares 2 go for a public fone then i'll open a call center.
 
Duh husband lazima ashike break!
 
Hapo lazima atulie maana call center soo
 
ha ha haaaaaaaaaaaaaaa nimeipenda hii!!tit for tat,LOL
 
ha haaaaaaaaaaaaa, mkuki kwa nguruwe......................
 
sasa mbona walimchanganya mtoto? nafikiri huyo mtoto atakuwa taahira tayari maana hiyo mipasho du
 
Kuna wale couple walio amua kuita kitendo icho kufua nguo kwa mashine, sasa mtoto katumwa na baba kumuulizia mama kama mashine ya kufulia nzima mama akajibu kuwa mashine mbovu...!

Baada ya siku tatu mtoto katumwa tena ila safari hii na mama, kumweleza babake kuwa mama anasema kuwa sasa mashine nzima anaweza kwenda kufua, baba mtu akajibu kumwambia mtoto kuwa amwambie mama yake kuwa amekumbuka ujana wake keshafua kwa mkono...!
 
Hahahaaaaa zote kali!!!! nimemsimulia wife hapa sijui hata apply over the night!!
 
Hahahaaaaa zote kali!!!! nimemsimulia wife hapa sijui hata apply over the night!!
Aaaaaaaah, nawe bana mambo ya barazani unapeleka uwani...!?

Ukinyimwa usije omba ushauri uku oooh!
 
Back
Top Bottom