Mlio bomba wa simu

Mlio bomba wa simu

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Dingi kanunua simu, amekaa sebuleni na katoto kake anatest mlio, mara dingi ushuzi ukamtoka 'pwi pwii'.
Mtoto "Baba huo huo nimeupenda kwa kuwa una harufu pia"
 
nimeona title nikakimbia mbio kwani jana kuna nikiwa kwenye usafiri wetu walala hoi kuna jamaa nadhani amerocord kwenye redio za mbao mziki wa twanga yaani ni kelele badala ya mziki halafu jamaa hapokei simu abiri ilibidi wamgeukie kwa kero waliyoipata ndani ya sekunde takribani 30....
 
Dingi kanunua simu, amekaa sebuleni na katoto kake anatest mlio, mara dingi ushuzi ukamtoka 'pwi pwii'.
Mtoto "Baba huo huo nimeupenda kwa kuwa una harufu pia"
....Tena hata msanii aliyeuimba....namjua ....si ..si yule anaitwa Malow!!!Teh, teheeeeeeeee!
 
hata mimi niliwahi kushudia jamaa amebeba jeneza maiti inatolewa ndani mara simu ikaita inaimba (kimasomaso mwanangu msimuone kwajicho la adui mwanangu msimuone) jamaa kuzima simu anashindwa kuachia jeneza anashindwa watu wamebaki wameduaa na simu ya kichina ilivyo na sauti
 
kama ni mtu mwenye nadhari atajifunza. Mi ndo maana siweki nyimbo, beat yangu fupi (musifola) inanitosha. Basi usiseme kuhusu huko misikitini.
 
Ilitokea mwaka jana pale msikiti wa Bondeni Arusha wakati wa sala ya ijumaa. Jamaa na simu yake ya mchina ikaanza kuita, mbaya zaidi ringtone ilikuwa "Nibebe" ya Rose Mhando! Baada ya sala jamaa alichezea kichapo cha hatari.
 
Si unajua kama kutozima simu inakuwa ni uzembe, na uzembe ni haramu. Hivyo, kumuhukumu wamemtendea haki kabisa...
Gud
 
jamaa mmoja alikuwa ndiyo kwanza ameamka anajiandaa kwenda kuoga, huku akiwa amevaa taulo tu bila chupi ndani.
mtoto mdogo alikuwa analia , akaamua kukachukua kale katoto kake na kuanza kukarusha rusha kukabembeleza
ghafla taulo likamvuka.... du
 
mbona hiyo ni ishu ndogo tu. Yani huyo huyo mtoto ndiyo atakuwa kizibio changu baada ya kumdaka na kuinama kidogo kwa mbele ili kujikunja nisiweke mambo hadharani kwa % zote. Na kila mwenye heshima zake naamini hatonikodolea mimacho kuniangalia.
 
Ahahahaaaah!!!
 
hata mimi niliwahi kushudia jamaa amebeba jeneza maiti inatolewa ndani mara simu ikaita inaimba (kimasomaso mwanangu msimuone kwajicho la adui mwanangu msimuone) jamaa kuzima simu anashindwa kuachia jeneza anashindwa watu wamebaki wameduaa na simu ya kichina ilivyo na sauti

Mhhh! hiyo kali
 
Dingi kanunua simu, amekaa sebuleni na katoto kake anatest mlio, mara dingi ushuzi ukamtoka 'pwi pwii'.
Mtoto "Baba huo huo nimeupenda kwa kuwa una harufu pia"

Kama cm ni yakichina haitatoa sauti na harufu bali na rangi
 
Back
Top Bottom