Jamani nauza wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nauza wanawake

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KIBURUDISHO, May 4, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Alisikika babu mmoja akipita mtaani, na hii ni baada ya kuona wake zake aliowaoa enzi hizo za radio ya mbao hawampendezi jamani nauza niongezee pesa nliyonayo nioe wa kichina maana mjukuu wangu haishi kunitambia kila siku kwamba siku hizi mchina balaa ameleta wanawake watamu kila idara siyo wowowo wala nyonyonyo alisikika babu aki........
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  nafwa mie
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Soko huria!!
   
Loading...