Sex

Sex

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Matatizo ya english media kwa watoto wadogo, siku moja mtoto alichukua paspoti ya mama yake na kuisoma akakuta; name:Anitha ,place:Moshi,Birth:1976,sex:F,Mtoto akamwita mama yake akamwambia mama"mama angalia sana baba asije akakuacha maana maana kwenye sex naona una "F".
 
hako katoto lazima kamezaliwa gesti za uwanja wa fisi
 
Watoto wa siku hizi nuksi kweli,mtu mzima unaweza umbuka hadharani.
 
sio kosa lake,

kosa ni la anayemkaririsha pass mark za matokeo ya mtihani, so yeye popote atakapoona A, B, C, D, E, F anajua ni passmark, so by default kajua sex ni somo na mamake kafeli kwa kupata F
 
Back
Top Bottom