Mchina anamjua RC wa Dar anaefuata!!

Mchina anamjua RC wa Dar anaefuata!!

jouneGwalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
2,696
Reaction score
1,806
Juzi nilitembelea ofisi za jamaa wachina wanaitwa Jiteng Consulting Company, hawa jamaa wapo pale Mikocheni B, nilikuwa naonana na mkurungenzi wake anaitwa Mr A. Huang!
Katika stori yule mchina akaniambia kuwa RC wa Dar es salaam anaefuatia baada ya Lukuvi ni Bw. Jordan Rugimbani.
Nimekuwa mpole nasubiri nione utimilifu wake, japo nimeshtuka kidogo kwa "muwekezaji" kuwa na taarifa za nchi za ndani kiasi hicho.
 
Ngoja tusubiri kuona kama Chit-Chat inageuka kuwa Habari rasmi!
 
False Alarm - Rugimbana hawezi kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - No, Never!

Probably huyu mzee Meki aliyekaimu sasa kwa muda mrefu - Probably!
 
Paka, hii imekaa kistori zaidi ndio maana nikaitupia huku mkuu wangu...
Pia yangu macho, huyo mchina ni anambwembwe sana
 
False Alarm - Rugimbana hawezi kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - No, Never!

Probably huyu mzee Meki aliyekaimu sasa kwa muda mrefu - Probably!

Hilo nalo neno Baba-Enock, pia kwa utabiri wa sias za udini za mheshimiwa Jeykey.... Mzee Meki ananafasi sana,
Huyo mchina anajifanya anaijua serikali yote bwana, afu serikali hii ndio inasifika kwa teuzi zake kuvuja kabla ya walioteuliwa kutangazwa rasmi.

Back
Top Bottom