A father went to his son and said,
Son, I want you to marry a girl of my choice
Son: "I will choose my own bride!"
Father: "But the girl is Bill Gate¢s daughter."
Son: "Well, in...
April 13 (Bloomberg) -- The central committee of Tanzania's ruling Chama Cha Mapinduzi urged members of its national executive linked to corruption scandals to resign to help improve the party's...
Habari wana jamii,
Najaribu kutafuta watu nilopotezana nao muda mrefu, nisoma nao na kuishi nao.
mimi nilimaliza shule ya msingi Mgulani, Dar mwka 1990, enzi za Mwl Mkuu Mama Mwakianjala, na Mwl...
Muandishi: Makaimati
Nimejaribu kusoma hoja mbali mbali katika makala hii ilioanzishwa na HMaster na nimebaini kwamba kilichomo zaidi ni dharau, kejeli na mazungumzo yasio na ukweli au...
Wapendwa Bwana Yesu asifiwe.
Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii ni redio ya Waislamu...
Imeandikwa na Basil Msongo, Dodoma; Tarehe: 15th April 2011
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama, amesema chama hicho si jiwe, ni chama makini, na mageuzi ilichofanya si ya...
Ninajisikia vibaya sana...
Mwanamwema wa Jamhuri hii, nimebakia tu kumsikia His Lordship Francis Lucas Nyalali the Chief na ripoti yake aliyoiwasilisha kwa Rais Mwinyi tarehe 17 Februari...
Habari wana jamii. Leo ni siku muhimu sana ktk maisha yangu kwa kutimiza miaka kadhaa hapa duniani hivyo nimeona ni vizuri nanyi wanajamvi tufurahi pamoja.
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu...
wasalaam wana JF...!
Baada ya kufuatilia kwa umakini mkubwa mwenendo wa bunge la 10, tangu kikao cha kwanza hadi hiki kinachoendelea sasa hivi, imenifanya kurudisha fikra nyuma na kuwakumbuka...
Watanzania wanachokihitaji ni maendeleo sio porojo zenu na magamba yenu. Kujivua magamba, kujipaka rangi, kufukuza mafisadi na mambo mengine kwenye yanayohusu chama chenu sisi watanzanai...
Nimegundua mob justice imehamia bungeni, kulikoni ? kanuni na taratibu za bunge zimepitwa na wakati? nani ana wajibu wa kuzi-ammend zikaendana na wakati tulionao?kuna mawazo tofauti? wasilisha!
Mke wa Yule fisadi papa Yusuph Manji amejikuta akipokea kichapo kutoka kwa mumewe baada ya kukutwa akiangalia kipindi fulani kutoka ITV, Kwa madai kuwa hakuna mtu yeyote katika ile familia...
A good woman is proud.
She respects herself and others.
She is aware of who she is.
She neither seeks definition from the person she is with, nor does she expect them to read her mind.
She...
Nimefuatilia na kubaini kuwa kasi ya CCM kusikiliza, Kujiuliza, Kujifunza na Kuchukua hatua ni ndogo mno. Mbaya zaidi Wana CCM ni wakaidi sana wanapoambiwa ukweli, huwa wanakuwa wakali na kutoa...
Picture From: "Tanzania Daima" April 15, 2011, Page 1
Jamani, watoto wetu wana-risk kifo kila siku wakivuka barabara hadi wanashikana mikono ili kupambana na kifo au kama ni kufa wafe pamoja...
KIBAO kimewageukia wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini baada ya kudaiwa wamekuwa mstari wa mbele katika kufanya vitendo vya uchakachuaji, imeelezwa. MZALENDO ilielezwa kuwa kelele zilizokuwa...
Wana JF,
Nimejaribu kufikiria dira ya uongozi wa JK nimeshindwa. Miaka mitano imepita, sijajua alikuwa ana lengo gani hasa ambalo alilivalia njuga kuhakikisha linafanikiwa. Nilichokiana ni...
Wabunge wa ccm wanashangilia ushindi.
Ni vyema tukakukumbuka kuwa hata siku moja serikali iliyo madarakani haiwezi kuwa na nia ya dhati kubadilisha katiba bila kushinikizwa kufanya hivyo. Na...