Chombo cha kutunga sheria kimekuwa cha kuvunja sheria, kulikoni?

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Nimegundua mob justice imehamia bungeni, kulikoni ? kanuni na taratibu za bunge zimepitwa na wakati? nani ana wajibu wa kuzi-ammend zikaendana na wakati tulionao?kuna mawazo tofauti? wasilisha!
 
Nimegundua mob justice imehamia bungeni, kulikoni ? kanuni na taratibu za bunge zimepitwa na wakati? nani ana wajibu wa kuzi-ammend zikaendana na wakati tulionao?kuna mawazo tofauti? wasilisha!

Ni swali gumu. Kama ni Waziri wa Bunge na Sera ina maana Bunge liko chini ya Serikali na siyo mhimili unaojitegemea. Lakini naamini kanuni hizi zinatungwa na Wabunge wenyewe ndio maana wamekuwa wakizitengua kila wakati kukidhi matakwa yao.
 
Back
Top Bottom