Natamani ningekuwa Invizibo.....

Natamani ningekuwa Invizibo.....

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,716
nisome PM zenu woooooote....
nani kamtongoza nani.....
...kila nikiboreka ningekuwa naingia JF na kuanza kusoma Pm zenu baaasi!,umbea kwetu suna!:teeth::teeth:😛anda:
 
utasutwa mtoto wewe!ndio ukute mtu wako anatongozwa kwa Pm ameshaweka na appointment sijuii utafanyeje!utajuta
 
nisome PM zenu woooooote....
nani kamtongoza nani.....
...kila nikiboreka ningekuwa naingia JF na kuanza kusoma Pm zenu baaasi!,umbea kwetu suna!:teeth::teeth:😛anda:
watu watakugongea groan hadi utakoma
 
pole sana bana ila usinipe groan zinantosha kwa leo
 
utasutwa mtoto wewe!ndio ukute mtu wako anatongozwa kwa Pm ameshaweka na appointment sijuii utafanyeje!utajuta

huoni nikiona ndio nitajua nimfanyeje kama nimbwage au vipi,nikiona majibu yake nitajua kama ana msimamo au la :bored::tape::A S 2152:
 
Hivi Pm ni kwa ajili ya kutongozana, Mbona sijatongozwa huko
 
Hivi kumbe invisible ana access na pm za kila member?
 
Natamani nikeshe nawe Invisible sura yako inanivutia sana:love::love: hope unavaa kiatu namba 9
 
Back
Top Bottom