Anyone with THE NYALALI COMMISSION REPORT? Please Scan Weka Jamvini !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anyone with THE NYALALI COMMISSION REPORT? Please Scan Weka Jamvini !!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by INFORMANT, Apr 15, 2011.

 1. I

  INFORMANT Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninajisikia vibaya sana...

  Mwanamwema wa Jamhuri hii, nimebakia tu kumsikia His Lordship Francis Lucas Nyalali the Chief na ripoti yake aliyoiwasilisha kwa Rais Mwinyi tarehe 17 Februari, 1992, historia yasema.

  Nilikuwa darasa la pili, sikujua yaliyokuwa yanatokea.

  Nimejaribu kuitafuta kwenye mtandao kutumia google, nimeambualia patupu hata kwenye tovuti ya Law Reform of Tanzania utakuta hili document---- http://www.lrct.go.tz/documents/Nyalali.pdf kwa jina hilo--- my foot!!!

  Nawasilisha
   
Loading...