Natafuta nilosoma nao.

Natafuta nilosoma nao.

LivingBody

Senior Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
166
Reaction score
15
Habari wana jamii,
Najaribu kutafuta watu nilopotezana nao muda mrefu, nisoma nao na kuishi nao.

mimi nilimaliza shule ya msingi Mgulani, Dar mwka 1990, enzi za Mwl Mkuu Mama Mwakianjala, na Mwl Masawe.
kuna watu ambao nawakumbuka kama kulikuwa na jamaa mmoja mkuu wa kikundi cha ngoma,, Mohamedi Mbuju, huyu tulimaliza nae shule na jamaa akina Mkundwe Mwasaga, Filbert Garusi na wengine,

Sekondary, nimesomea Montfort, Rujewa.

so, kama humu jamvini tumo pasi tuwasiliane,, plz

asanteni.
 
All the best mkuu
hopeful itawapa ta uwatafutao..
kama unasura kitabu (facebook)
Inasaidia sana kupata wapendwa mliopotezana kwa muda

Wakati unasubiri subiri walengwa
naomba usiwe bored sana burudika na
Sean Paul Ft Rihana ...BREAK IT OFF..
Peace..
 
una sura kitabu (facebook) LOL

Ni ushauri mzuri. Kusema kweli mitandao ya jamii inasaidia sana kwa waliopoteana kuonana tena.
Kwa kukupa moyo tu mimi nilipoteana na niliosoma nao 1990-1995 na nimewapata wengi kupitia surakitabu!
Kuanzia mwaka 2007 tumeanzisha utaratibu wa kukutana mara moja kwa mwaka na huwa wanahudhuria wengi kutoka sehemu nyingi duniani.
Jitahidi Mkuu, utafanikiwa tu!
 
Hahahshhah lol
haya bwana naona Leo
umeamua kunivamia kwenye sura
kitabu haya mkuu..
asante
 
All the best mkuu
hopeful itawapa ta uwatafutao..
kama unasura kitabu (facebook)
Inasaidia sana kupata wapendwa mliopotezana kwa muda

Wakati unasubiri subiri walengwa
naomba usiwe bored sana burudika na
Sean Paul Ft Rihana ...BREAK IT OFF..
Peace..
Asante kwa kunibudisha huku nikisubili.

itaangalia na huko kwenye Kitabu cha sura pia.
 
una sura kitabu (facebook) LOL
Inasaidia sana kupata wapendwa mliopotezana kwa muda

Ni ushauri mzuri. Kusema kweli mitandao ya jamii inasaidia sana kwa waliopoteana kuonana tena.
Kwa kukupa moyo tu mimi nilipoteana na niliosoma nao 1990-1995 na nimewapata wengi kupitia surakitabu!
Kuanzia mwaka 2007 tumeanzisha utaratibu wa kukutana mara moja kwa mwaka na huwa wanahudhuria wengi kutoka sehemu nyingi duniani.
Jitahidi Mkuu, utafanikiwa tu!

asante, nitajitahidi kwa njia zote zile.
 
No dear, don't take it in such way! Kinyume chake nimeipenda sana yako kuliko yangu "Surakitabu".
Kwani lugha nini? Ni maneno tu yanayowakilisha dhana na watu wanakubaliana. Nimeipenda sana.

Hahahahahahahah lol
usijali my dear nway
Nadhani karibu mnakaribia ijumaa
kipande hiyo ya dunia lol

Nway enjoy Michael Jackson ... WILL YOU BE THERE..
 
Asante kwa kunibudisha huku nikisubili.

itaangalia na huko kwenye Kitabu cha sura pia.

Hahahah kitabu cha sura daahh
hii kali.
Nway kati ya hiyo kitabu cha sura
Na sura kitabu lazima utmpata mtu..
all the best..
 
Habari wana jamii,
Najaribu kutafuta watu nilopotezana nao muda mrefu, nisoma nao na kuishi nao.

mimi nilimaliza shule ya msingi Mgulani, Dar mwka 1990, enzi za Mwl Mkuu Mama Mwakianjala, na Mwl Masawe.
kuna watu ambao nawakumbuka kama kulikuwa na jamaa mmoja mkuu wa kikundi cha ngoma,, Mohamedi Mbuju, huyu tulimaliza nae shule na jamaa akina Mkundwe Mwasaga, Filbert Garusi na wengine,

Sekondary, nimesomea Montfort, Rujewa.

so, kama humu jamvini tumo pasi tuwasiliane,, plz

asanteni.
Endelea kujianika tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom