Mchaga mmoja alidondokea kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa, mkewe akaja na kamba mpya akamrushia. Mumewe akauliza; "Umenunua shilingi ngapi?" Mke akamjibu " Buku" akamwabia...
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Vipi huko mpenzi wangu?
UNAENDELEAJE? Unajiandaaje kwa Krismasi teh teh? Maana hapa utadhani Krismasi ni kesho tu.
Kila...
Kiulikuwa na wanawake 3 ambao walinunua ice creame {Ballcone} wa kwanza alikuwa anainyonya, wa pili alikuwa anailamba, na wa tatu alikuwa anaimung'unya! Swali, Je! utamjuaje kati ya hawa alieolewa?
Bacteria mmoja alifungiwa katika kopo lenye mfuniko.Kila baada ya dakika moja,bacteria hujigawa vipande viwili na kuwa bacteria wawili wapya ambao nao huendelea kujigawa.Ilipofika saa 12:00,kopo...
Walipokuwa wanajisifia walikokuwa wanatoka,
Mmarekani akasema, "I'm from New York City!
Muingereza akasema !I'm from London City"
Mtanzania aliyekuwa anarejea toka hospitali alikofanyiwa upasuaji...
jamaa mmoja muongo alikua kijiweni anawahadithia watu jinsi alivyokua akimkimbiza swala porini akaishia kwamba " nikamkamata nikamlaza chini" ghafla kabla hajaendelea simu yake ikaita akaenda...
An IT services company had a policy of hiring only married men.
Concerned about this, a local Woman's Liberation Front Leader called on the CEO and asked him, "Why is it you limit your...
Mimi nashindwa kuelewa nyimbo nyingine wanapiga club. Jana nacheza mziki mara unakuja wimbo wa Enrique Iglesias - Tonight im f*** u. Ghafla mademu wanajirusha kwa nguvu kweli. Nikajua labda leo...
Unajua kwamba 80% ya kichwa chako ni maji? Na ndio yanawezesha akili kufanya kazi ipasavyo. Kwa hiyo nikikuita kichwa maji si kwamba nimekutukana bali nitakuwa nimesifia uwezo wa akili kichwani...
Saa ya ukutani ya bwana khalifa iliishiwa betri kisha ikawa haifanyi kazi.Khalifa alitoa betri zilizokwisha na kuweka mpya kwenye hiyo saa,kisha ikaanza kufanya kazi.Lakini saa ya khalifa...
Hivi utaratibu wa kutoa au kutunuku PhD ya heshima ukoje? Hivi hao wanaotoa hiyo PhD ya heshima kama waliweza kuwapa akina fulani wanashindwaje kumpa Babu wa Loliondo?
Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye Mahojiano ya kazi, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko...
A man suffered a serious heart attack while shopping in a store. The store clerks called 911 when they saw him collapse to the floor. The paramedics rushed the man to the nearest hospital where...
madent kwenye shule moja ya kike wakiwa kwenye paper la biology,
moja ya swali lilikuwa ni kuchora sehemu ya kike na kuilebel,maana ni kiungo cha uzazi!
dent mmoja akiwa shallow mbaya kumbe...
Siku ya matanga mtoto mmoja jirani alikuta chakula na vinywaji vimekwisha,kila alipojaribu ili pate hata kiduchu akaambiwa na watoto wenzie hakuna akatoka analia huku akiwaonya baba yake akifa...