Bacteria!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Bacteria mmoja alifungiwa katika kopo lenye mfuniko.Kila baada ya dakika moja,bacteria hujigawa vipande viwili na kuwa bacteria wawili wapya ambao nao huendelea kujigawa.Ilipofika saa 12:00,kopo lilikuwa limejaa bacteria mpaka juu kabisa.Je ni muda gani(saa ngapi) hawa bacteria walikuwa nusu ya ujazo wa kopo?
 
Kwenye uzi wako hukutaja muda ambao bakterium wa kwanza aliwekwa koponi. Inakuwa ngumu kwa mwanahisabati mimi kuweka ma-Epsilon yangu kwenye tswalilo!
 
Thanks bro but that is the way it is!
 
sa tisa!!! yaani baada ya masaa tisa ya kumweka bakteria wa kwanza...i.e. assuming, 12.00 inamaanisha baada ya masaa kumi na mbili!!
 
sorry,sikumaanisha masaa 12 yalipita,nilimaanisha mshale wa saa ulikuwa unaonyesha,'hivi sasa ni saa 12 kamili',kwa hiyo huu ni muda uliokuwa unasomeka kwenye kioo cha saa wakati kopo limejaa bacteria,i hope nimeeleweka!
 
Saa 12:00,kopo lilikuwa limejaa bakteria.Hebu rudisha mshale wa saa nyuma dakika moja tu!kopo lilikuwa na bakteria nusu ya ujazo wake, saa 11:59.Baada ya dakika moja kupita na kutimia saa 12:00,kila bakteria alijigawa mara mbili na ku-double volume hence kopo likajaa full.Kwa hiyo,bakteria walikuwa nusu ujazo wa kopo dakika moja tu nyuma ya saa 12:00,yaani saa 11:59.Mmekwenda mbali wakuu,siwezi kuweka swali linalohusu mi-calculus sehemu kama hii,swali lazima liwe standard kwa kila mtu,thanx kwa kujaribu!
 
Aaah bana! Umeniwahi, mbona umejibu haraka hivo? Ungesubiri hata wikiendi ikaribie.
 
Kofia
Huuzwa
Dukani
Mwa
Daudi
Cent
Mia
halafuuu..... Mh...... Sijui nianzie wapi!! Ntarudi baadae kwanza...
 
Saa 12:00,kopo lilikuwa limejaa bakteria.Hebu rudisha mshale wa saa nyuma dakika moja tu!kopo lilikuwa na bakteria nusu ya ujazo wake, saa 11:59.Baada ya dakika moja kupita na kutimia saa 12:00,kila bakteria alijigawa mara mbili na ku-double volume hence kopo likajaa full.Kwa hiyo,bakteria walikuwa nusu ujazo wa kopo dakika moja tu nyuma ya saa 12:00,yaani saa 11:59.Mmekwenda mbali wakuu,siwezi kuweka swali linalohusu mi-calculus sehemu kama hii,swali lazima liwe standard kwa kila mtu,thanx kwa kujaribu!
Duh!.. Nilipotea kabisa!
 
swali lako ni gumu sana hasa kwa sababu haujaonesha muda halisi ambao bacterium wa kwanza aliwekwa...! Lakini assuming the starting time was 0600hrs kopo lingekuwa half-full at 1500hrs..
 
Mkuu kama unaweza kuujua mwisho kutokana na mwanzo,basi unaweza pia kuujua mwanzo kutokana na mwisho,jaribu ku-solve kuanzia kopo likiwa full kurudi nyuma,badala ya bacteria mmoja kugawanyika kuwa bacteria wawili,bacteria wawili waungane kuunda bacteria mmoja!
 
:smow: ebwana eeh! tupe time waliyoanzia kujigawa alafu wazee wazima tuanze kukokotoa au sioooooooooooo??????????????
 
Bacteria mmoja alifungiwa katika kopo lenye mfuniko.Kila baada ya dakika moja,bacteria hujigawa vipande viwili na kuwa bacteria wawili wapya ambao nao huendelea kujigawa.Ilipofika saa 12:00,kopo lilikuwa limejaa bacteria mpaka juu kabisa.Je ni muda gani(saa ngapi) hawa bacteria walikuwa nusu ya ujazo wa kopo?

Bacterium anakua (i.e anaongezeka ukubwa/ujazo with time)? Kama jibu ni hapana basi muda wote hilo kopo lilikuwa limejaa (halikuwahi kuwa nusu)...kwa maana kuwa ni volume ileile inagawanywa katika vipande vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom