Ndoto Tamu

Ndoto Tamu

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Jamaa aliota ameokota fuko la pesa, wakati anaondoka kwa kujifichaficha ghafla lile fuko likafunguka juu noti zikaanza kutoka, jamaa haraka akaweka kidole. hajatahamaki fuko likatoboka chini coins zikawa zinatoka, akweka kidole chini na kujikuta yupo nyumbani, mara akashtuka usingizini kwa furaha zote, kujiangalia kidole kimoja kipo mdomoni na kingine kipo mk......
 
😛ound:du? iyo ndoto kaleeeee! te te te te teheeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom